Na hili sio kidini tu, hata baadhi ya mila zinaruhusu mwanaume kuoa zaidi ya mke mmoja.Unless unataka tu kuwavuruga watu huyo uliyemuweka hapo imani yake inasema mke mmoja pandisha hapa picha ya mwarabu anayemiliki visima vya mafuta akiwa na mke mmoja kama huyo ndo tujadili.
Acha ushamba wewe weke picha yako na mkeo na watoto wako tukutathimini hayo unayo yasemaWakuu huwa najiuliza sana ivi ni kwani haya mashirika ya kutetea haki mwanamke na hizi NGO's ambazo hasa zinapigania haki za wanawake afrika na hasa za hapa kwetu Tanzania huwa hazisemi chochote linapokuja suala haki za mwanamke katika ndoa mitala?
Kwa sababu kama kuna jambo linalo 'udharirisha' utu wa mwanamke na kuthibitisha kabisa kuwa mwanamke ni chombo cha starehe basi ni polygamism.
Kwanini haya mashirika huwa hayasemi chochote? Au ni kwasababu wao wanawake ni wanufaika wa ndoa hizi?
Kingine,mwanamke kukubali na kuridhia kuolewa mke wa pili,mke wa tatu,mke nne mke wa tano mke wa sita..hii huwa ni nini?
Je ni tamaa? Ni njaa? ni umaskini ? Ni uhaba wa wanaume? Kwa wanaume pia huwa ni nini?
Nimefikiria sana huyu jamaa pamoja na pesa na umaarufu alio nao lakini ana mke mmoja tu Na ameridhika..sasa hii mitala Africa chanzo ni nini?
View attachment 2471147View attachment 2471148View attachment 2471143View attachment 2471145View attachment 2471146
mimi sipingani na polyganism, nachota kujua ni kwanini NGO's ni kama zinaunga mkono hili,wakati kiasi flani polygamism ina udharirisha utu wa mwanamkeAcha ushamba wewe weke picha yako na mkeo na watoto wako tukutathimini hayo unayo yasema
Sijui wewe unadefine vipi chombo cha starehe.anaonekana kama chombo cha starehe,yupo kwaajili ya kumfurahisha mwanaume,
Mm ni muoaji
Mbona hauzungumzii kuhusu wanawake wanajiuza mitaani na mitandaoni au huko ndo kunainua utu wenu?Wakuu huwa najiuliza sana ivi ni kwani haya mashirika ya kutetea haki mwanamke na hizi NGO's ambazo hasa zinapigania haki za wanawake afrika na hasa za hapa kwetu Tanzania huwa hazisemi chochote linapokuja suala haki za mwanamke katika ndoa mitala?
Kwa sababu kama kuna jambo linalo 'udharirisha' utu wa mwanamke na kuthibitisha kabisa kuwa mwanamke ni chombo cha starehe basi ni polygamism.
Kwanini haya mashirika huwa hayasemi chochote? Au ni kwasababu wao wanawake ni wanufaika wa ndoa hizi?
Kingine,mwanamke kukubali na kuridhia kuolewa mke wa pili,mke wa tatu,mke nne mke wa tano mke wa sita..hii huwa ni nini?
Je ni tamaa? Ni njaa? ni umaskini ? Ni uhaba wa wanaume? Kwa wanaume pia huwa ni nini?
Nimefikiria sana huyu jamaa pamoja na pesa na umaarufu alio nao lakini ana mke mmoja tu Na ameridhika..sasa hii mitala Africa chanzo ni nini?
View attachment 2471147View attachment 2471148View attachment 2471143View attachment 2471145View attachment 2471146
Una uhakika hana michepuko?Wakuu huwa najiuliza sana ivi ni kwani haya mashirika ya kutetea haki mwanamke na hizi NGO's ambazo hasa zinapigania haki za wanawake afrika na hasa za hapa kwetu Tanzania huwa hazisemi chochote linapokuja suala haki za mwanamke katika ndoa mitala?