Ndoa za mikataka (trial marriages) ni chukizo mbele ya Mungu!

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,262
1,220
Wadau kuna hizi ndoa za majaribio au za mikataba au maarufu 'trial marriages' ambapo watu wawili wanafunga ndoa na kuweka 'expire date' kwamba baada ya muda fulani watafikiria kurudia tena mkataba (to renew). hizi hazimpendezi Mungu anayetaka tuishi siku zote bila kuachana. Ni dhambi kuendekeza ndoa za Bomani wakati mtu una imani yako, kama Mkristo kafunge ndoa ambapo utakutana na agizo la Mungu la kutokuwepo Talaka na kama ni Muislamu kafunge Msikitini japo huko kuna talaka.
NAWASILISHA
 
Unaishi dunia gani?chukizo kwa maana ipi?kwa mungu yupi?Bado unaamini kuna mtu/kitu/nguvu inaitwa mungu?.Acha kuishi kama vile upo karne ya 2.Wewe u amjua mungu?umewahi kumuona?
 
Back
Top Bottom