PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 302
- 200
Jamani watanzania wenzangu wanajamii forum...mapenzi yamekuwa janga la hatari sana siku hizi..ndoa nyingi huvunjika, wapenzi huachana olela...Vip mnaona vipi kama serikali ianzishe sheria ya ndoa ya MKATABA?
Yaani mnaweza kuoana baada ya miezi sita mkaachana na kutafuta mwingine au ukaongeza mkataba..
Yaani mnaweza kuoana baada ya miezi sita mkaachana na kutafuta mwingine au ukaongeza mkataba..