Nilidhani nipo peke yangu amabe sijaelewa. Stori inamkanganyiko. Mkuu rudi uielezee upya. Halafu kwa hii style ya uandishi, nina wasiwasi kuwa wewe ndie muhusika halisi na wala si rafiki
we ulimwambia awaskilize wazazi aoe na akati story yake km ilivokuwa msimliaji alikuwa hajatulia kiviiile ila alimalizia kuwa huyo mwanamke tayari yupo na ni mjamzito
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.