mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
kwa nini unasema hivyo
anaolewa mmmoja ila nje viburudisho vya kutosha
back to the topic
KWA NGUVU IPI YA KIZAZI CHA CHIPS KUKU NA NOVIDA UOWE WAKE WAWILI???
MMMOJA TU NI issue
Hivi State House na watu wa External Intelligence si ndio kazi yao kucheki maslahi ya Taifa kwenye Mikataba mikubwa mikubwa?
nijuavyo hayo yalikuwepo ktk agano la kale then Yesu alipokuja aliyatengua hayo na kuweka maagano mapya!
ok,swali la pili ni zuri sana kama ilimpendeza mungu au la,kumbuka daudi alimuudhi mungu kwa kosa la kuchukua mke wa jemadari tu lakini bado daudi ukimtoa yule mwanamke alikuwa na wake wengine wengi,mbona hakuna adhabu yoyote ilimpata wala hakuambiwa na mungu awaache hao wote aliowaoa abaki na mmoja?