habarini wanammu,ninataka kujua kwa nini ndoa za kikristo haziruhusu mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja hali ya kuwa manabii na mitume walioandikwa kwenye biblia kama vile daudi na yakobo walikuwa na mke zaidi ya mmoja? Na ni nani aliyeweka sheria hii ya kuoa mke mmoja tu?

Sheria za kuoa mke mmoja kaweka paulo mwitaliano,wakristo walikuwa zamani sio sasa,wote hawa sasa wakristo wa paulo,aliyobadilisha maneno mengi kwenye injili.
kwa hiyo kula nguruwe ni dhambi au la maana nayo agano la kale ilikuwa hairuhusiwi
anaolewa mmmoja ila nje viburudisho vya kutosha
back to the topic
KWA NGUVU IPI YA KIZAZI CHA CHIPS KUKU NA NOVIDA UOWE WAKE WAWILI???
MMMOJA TU NI issue
Kabla hujapata majibu kwa maswali yako tafadhali jibu maswali yafuatayo:
Hao Manabii uliowataja waliagizwa na Mungu kuoa wake wengi?
Je, hatua za wao kuoa wanawake wengi ilimpendeza Mungu?
Je, kuoa wake wengi ni mpango wa Mungu tangu mwanzo?