Ndoa yangu ipo ICU !dah

Huyo boss alikukojolea I'm sure
 
To cut the story uliliwa mara ngapi Boss?
 
Naomba nikushauri kama mtu ambae pia niko kwenye ndoa, kwa hali hiyo nenda kamuone mama yake hata kitenge cha zawadi mpelekee na nenda ikiwezekana bila yeye kujua mueleze vizuri kuhusu mwenendo wa mwanae kuhusu kumuacha kwa kweli sifikirii ukifanye ilo maana hao watoto utawaumiza sanasana na kamwe usioende kuachana halafu ktk mazungumzo sijaona kabisa ratiba za kanisani aisee mwenyezi Mungu yupo ibada inasaidia sana kuomba pamoja nyumbani kama familia inasaidia sana unajua unaweza sema ni yeye anataka muachane ila kumbe si yeye aisee kuna wanaume wa ajabu sana hii dunia kuharibu ndoa za wenzao humwendea mwanamke kwa waganga mwanamke anakuwa ajielewi anamtaka huyo jamaa hili lipp aisee na nimewahi kulishuhudia sasa ibada kuomba pamoja hubadili sana matokea ya uganga badili ratiba zako pata muda wa kwenda kanisani kama familia kuna jambo litabadilika,aisee Bwana Yesu akutunze wewe na familia yako naumia sana kusikia hili Ndoa inapigwa sana vita na shetani kwa sababu ukiliga ndoa mkiachana maana yake familia imesambaratika upendo umepotea usikubali kuachana aisee pambana mpaka mwisho kama zawadi tu mnunulie hata kama makosa ni yake jaribu kumpeleka sehem nzuri na muelezenjinsi unampenda maua haya yanamchango wake kurudisha upendo.
 

"Weak Man" Did you ever provide feedback? Usikute Bado unateseka kwenye ndoa!
 

You are weak! Super weak, unapelekea Mama wa Malaya kitenge cha Nini? Hao watoto mnaobaki sababu yao, mtakuja kufa wasiwe na Baba kabisa!
 
Nikipata muda mzuri nitasoma vizuri limulizi lako, lakini ninachokushauri "usuchukue ushauri wowote kutoka humu". Don't be influenced in any way to take a decision based on what you hear from colleagues on this platform. I'll come back on this.
 
usikubali ushauri huu kuna mawili uwe mvumilivu hadi ajitoe mwenyewe au chapa raba ondoka 4ever hakuna kurudi nyuma anza maisha yako ya kuish kama ninja ila ukiwa na furaha
 

Daaaaah......nmejikuta nalia kwa huzuni.....kama hii n stori ya kweliiii kwa moyo mweupe kabsa nakupa pole nying sana mwambaaaaa.........
..........Ningependa kujua MKEO anafany kazi gani.......pili wewe unafanya kazi gani..........Hiii itatupa picha halisi ni nn inampa huyu mwanamke ujeuri wa namna hiiii?......kuna mbinu ntakupa fungukaaaa
 
you pressed the wrong button...uzuri nimekua sana ila pia sijaacha retaliate.."weak man baba yako ''

hahaha back to basics...ase ntashusha mrejesho hapo chini mda si mrefu mpwa

Ukitoka kwenye changamoto za ndoa na Talaka, wape vijana feedback wajifunze, ni safari ngumu Sana, please leta mrejesho!
 
Pole sana kiongozi,shida ya binadamu utampa kila kitu bado atataka akutawale akunyime amani, Mungu ni mwema utashinda
 
you pressed the wrong button...uzuri nimekua sana ila pia sijaacha retaliate.."weak man baba yako ''

hahaha back to basics...ase ntashusha mrejesho hapo chini mda si mrefu mpwa
Usisahau nitag mkuu.
 
***UPDATES

Hellow team

Hii ni updates kuhusiana na post yangu ya tarehe 19/10/18

8 years imepita tangu yaliyonisibu.....

well kwa ambao hawakuwepo au kutojua kwanza a praying soul is all one needs to grow further......

Kwanza kipind kile kwa kweli ndoa ilisumbua jamani kutokana na vitu main viwili : kwanza huyu binti alikuwa hajatulia kabisa ukizingatia umri( tulifanya sherehe kila kitu o her pressure and i was an OKAY guy sikumkatalia kitu ) issue arose alipohamishwa kikaz na kuongezewa mshahara ...(kipato zaid yangu ni ilikuwa issue 2) maana i was paid well mkoa A ..alivyohamishwa mkoa B kipindi hiki tuna mtoto wa pili mchanga am a family guy and believe in the ideology ya kukaa na familia kwa malez sawa ya watoto .....nilipiga kazi chini mkoa A kuhamia mkoa B kwa half what i was earning just to be close nayeye( hapa zamani sikuweka clarity maana kwanza kaz ya awali ilikuwa nanilia mda mwingi sana kufanya mambo yangu binafsi na pili kutokana na restructuring nilikuwa nahamishwa kitengo kwahiyo ile move yangu ilikuwa justified) hili tukio lilimkwaza mwenzangu maana nilienda mkoa B ila ikawa kama nambana
maana kule alikuwa ameshakaa kama miez 6 before sijahamia ..ugomvi ulikuwa haukauki na matukio etc.....


WHAT I DID KIPINDI HIKO.............................(Mrejesho maana nilikuwa stressed nikawaacha bila mrejeshoo)
HATUA NILIZOCHUKUA KU MOVE ON
-Kipind hiki nilikuwa mtu wa kusali sana...( Familia nyumban walisikia my pain, wakanipiga stop order moja kali....niamke na kwenda kupanda basi mara moja kurejea nyumbani,mind you kipind hiki sasa ndo vimbwenga vilizid kwa mwenzangu na nilikuwa mnyonge to the maximum, walihisi ningempiga tukio niishie jela..ukweli nilipima mengi sana na ukisali jaman unakuwa na hofu ya Mungu...hamuwez amini kati ya mishe zake zote alikujaga kuniomba msamaha maana alikuwa anajua anatafuta kuuawa sijui ,,,,
  • niliacha kila kitu na kusepa sikumpa taarifa..nikarejea nyumban nikaanza maisha mapaya mwenyew..sikuwasiliana na wanangu kama miez 6 mingine ....alianza mchakato wa talaka...tukafanikiwa 2019 tukapata talaka yetu akiwa mkoa B
  • mwaka huo huo alipata mimba ya jamaa mmoja huko mkoa B ,,,,,kwa ma ahadi ya kumuoa nadhani maana sikujua mi taarifa walikuwa wananipa wifi zake...
-akazaa na huyo jamaa....akaja kutapeliwa na huyo jamaa wakaachana akapata mwingine akachumbiwa tena hajaolewa ila ni mwendo wa matukio nasikia huko alafu watu wake wote anaowapata naskia ugomvi huko kisa ni mimi na alivyonifanyiaga..mkoa B mdogo sana aliekuwepo word travels and wanajuana watu wengi
-Binafsi nilirejea nikarud kule kazini nilipo resign walinipokea tena na kuniingiza department nyingine...
-maisha yakaanza upya
-Mungu alizid nibariki ,,,nikapata shavu sehem nyingine nzuri zaid(enzi za jembe)basi life style ikabadilika..


Currently
-wanangu wanakujaga pasaka na xmas....
-mwaka jana niliwakatia wote watatu ( na uyo mwanae aliyezalishwa huko, kutokana walitaka kuja nae wanangu )maana wakijaga dar wana cheza sana magemu huku na kuwalisha mabata mno nikawakatia ndege wote na dad wa kazi huwa wanasafiri nae ..
- ye anakujaga kikaz tunaonana mara moja moja ila sijawahi hata kumkula ase...niliapa kama tukibaki wanadamu wawili duniani basi kizaz cha wanadamu kitakuwa mwisho..sitomgusa huyu kiumbe
-ananiitaga hotelin napita kumpaga hi nikiwa na nafasi
-nasomesha wanangu TU ada direct nalipa moja kwa moja...nikitaka kuongea nao huwa wanatumia simu ya bibi yao kule mkoa B au mama yao mara moja moja
-nashukuru maisha yamebadilika mno na we co parent vizur na sina hard feelings kwakwel maana life turned out extremely well kwangu kuliko yeye so far....
-yani nikikaa nae namuona anajutia sana meni ila ndo vile kana nature ya ukiburi flan basi unakuta mi mkimya namuitikiaga tu ase sina mengi...

wakuu ntakaribisha maswali maana natoa mrejesho kwa mafungu na juu juu sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…