Labda wapare wa MACHAME mana wao ndo wanadaiwa walikua na tabia ya kufanya matukio kama hayo,Au wanataka kukugeuza hela.wapare original kama mimi hawauwi waume zao hata siku 1 awe tajiri au mpate mtoto wa kiume,Wapare wana mapenzi ya dhati.
Mimi ni mpare na mume wangu ni mchaga (MMACHAME)....ndoa yetu ina miaka 6 na miaka yote tumeishi kwa furaha na upendo..Mumgu ametujalia watoto 2 mkubwa 5yrs wa kike mdogo 3 month wakiume...Toka nijifungue mtoto huyu wa kiume mume wangu amepunguza mapenzi na mimi na wala hampendi kabisha huyu mtoto,Nilipomuuliza anadai dada zake wamemweleza kuwa kuzaliwa kwa mtoto huyu ndio mwisho wa maisha yake,Eti mimi nitamuua sbb wapare wanatabia ya kuua waume zao punde wapatapo watoto wa kiume. Yn naumia sana roho kwani nilidhani mtoto angekua furaha kwa mume wangu kumbe amegeuka hofu kwake,Nifanyaje jamani
mmeo ana miaka mingapi?
Kapita hata ngumbaru?
Mna maelewano kweli ana unahisi mna maelewano?
Kuna kitu behind the scene, mtoto wa kiume siyo kigezo.

mme ekaiwe na vadada vakwe,ni igonji levendiwe ni mbua
nasikia ukiolewa na mmachame hakikisha hana madada,kama ana dada bora usiolewe nae.pole sana vumilia tu hilo nalo litapita
Mimi ni mpare na mume wangu ni mchaga (MMACHAME)....ndoa yetu ina miaka 6 na miaka yote tumeishi kwa furaha na upendo..Mumgu ametujalia watoto 2 mkubwa 5yrs wa kike mdogo 3 month wakiume...Toka nijifungue mtoto huyu wa kiume mume wangu amepunguza mapenzi na mimi na wala hampendi kabisha huyu mtoto,Nilipomuuliza anadai dada zake wamemweleza kuwa kuzaliwa kwa mtoto huyu ndio mwisho wa maisha yake,Eti mimi nitamuua sbb wapare wanatabia ya kuua waume zao punde wapatapo watoto wa kiume. Yn naumia sana roho kwani nilidhani mtoto angekua furaha kwa mume wangu kumbe amegeuka hofu kwake,Nifanyaje jamani
Kweri lirundie.
madhara ya wanaume wakukutana nao kwa waganga ndio hayommeo ana miaka mingapi?

tha igonji