Ngondombole
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 646
- 186
Huyu jamaa mzinguzi sanaumeoa lini ??
story zako hazina series nzuri
ha ha ha ha ha ha ha ha
shule umemaliza lini dogo ?
Huyu jamaa mzinguzi sanaumeoa lini ??
story zako hazina series nzuri
ha ha ha ha ha ha ha ha
shule umemaliza lini dogo ?
kwangu haiwezi kuwa sababu ya kutokukupenda
NAKUPENDA SANA
kumbe naww MO11 n CIA
Punguza uongo
Hahahaaaa duuuh...hatare af kinaonekana kindugu changu hichi lkn kina mambo ya ovyo hadi sijakipenda
MO11 amenifanya hata nisiendelee kusoma comment zingine, nilikuwa nasoma kwa makini nikakuta comment ya kijasusi ya @M011 nikaishia hapoUnataka tujadili matango pori ndungu?
umeoa lini ??
story zako hazina series nzuri
ha ha ha ha ha ha ha ha
shule umemaliza lini dogo ?
Mi tujitu tuongo situpendagi hata
Yaani imekuwa shida sasa mpaka najilaumu kwanini mke wangu niliamua kumnunulia smart phone.
Takriban miezi mitatu imepita toka nimnunulie simu aina smart kwa nia njema tu kutokana na kazi ya kuuza duka muda mwingine wateja hamna basi aitumie tu ku-refresh mind, lakin kadili siku zinavyokwenda naona hali inabadilika yaani amekuwa adicted mpaka majukumu yake anamwachia house girl wakati zamani haikuwa hivyo, juzi kati hapa nilitembelewa na mama yangu nae alishangaa ku huyo cm inamuongoza na c kuiongoza kama analeta nyodo mchane live ukiona zalau zinaendelea mnyanye cm na hata akinunua nyingine chukua huku kuna wanao chat nae ndo mana wanamtetea
Hahahahaha
Dogo kumbe kaoa njozini
Na story zake zisizoeleweka
GREAT THINKER
NI UWANJA MPANA SANA TOFAUTI NA AKILI NDOGO ZINAVYODHANI AU KUFIKIRI
kuna watu na taaluma zao tena ukute wana acces kubwa sana na internet lakin hawana obey na social media, mwingine ana simu ya gharama kubwa tena ya kisasa lakin ukimuuliza maswala ya internet hajui, wengine either kwa elimu, uwezo au ufahamu tu kuwa mdogo wa masuala ya kiteknolojia ameshindwa ku-acces internet. Hivyo basi tunatumia jukwaa hili huru kupeana habari, kujadili hoja zenye mlengo wa kusaidiana, kubadilishana mawazo n.k
vivyo vivyo mimi naweza kuwa mwakilishi mzuri wa sehemu ninayoishi na nikavaa uhusika wa kile nitakacholeta hapa jukwaani
madhali tu kina tija na hakivunji sheria na taratibu za jukwaa kama zilivyoweka.
Moja ya mada iliyowekwa hapo juu ni kuhusu mama mmoja kufanyiwa operation, ile mada ilikuwa msaada mkubwa sana kwa wahusika japo kwa leo sitaeleza nini kilitokea baadhi yao tuliwasiliana kwa pm na njia za simu kwa ushauri na mawazo yao ambayo yalitutoa sehemu 1 na kupiga hatua nzuri mbele
ni muda tu lakin niliahidi kuja na mrejesho wa nini kilijiri kwa wale wahusika
*usione umekamilika sana chini ya hili jua, sadam na fahari yake yote ulifika wakati akachimbuliwa kama kiazi*
apana, nakuomba usimuache kwanza, muelimisha, mpe elimu ya ziada juu ya mambo ya kiteknolojia, mfahamishe, mtishie, kakamaa, wew ni m.mme mnyooshe mkeo,
akishindikanwa msukumie talaka, na aende akaolewe na smart phone
umeoa lini ??
story zako hazina series nzuri
ha ha ha ha ha ha ha ha
shule umemaliza lini dogo ?
umeoa lini ??
story zako hazina series nzuri
ha ha ha ha ha ha ha ha
shule umemaliza lini dogo ?
CIA? au shigongo
mtu makini hujadili issues , poor minds hujadili watu
waweza tafuta mchawi wa maisha yako kamwe usimuonye, chukua kioo ujiangalie....huyo ndo...
Weye ndo wale wale
BADILIKA
Nina wax wax na iq yako.