Ndoa yangu iko njia panda

Ndoa yangu iko njia panda

Ichukue hiyo simu umuone reaction yake, kama akileta kiburi usimrudishie ila akiamua kuwa mstaarabu na kukubali makosa yake na kuwa tayari kujirekebisha asi hakuna ubaya kumpa nafasi nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Aisee huyo yuko addicted na chat za huko kwingine kama wengine tulivyo addicted na JF. Kama sina kazi huwa mapumziko JF hata kupitia klichomo kama guest. Ila kwa kjifunza. Facebook kama ngekuwa kufungiwa wangenifungia. Naingia nadra sana.
 
Paukwaaaa, pakawa...

Hapo zamani za kale...ennh!!!

Palitokea mke na mume...ennh!!!
 
Yaani imekuwa shida sasa mpaka najilaumu kwanini mke wangu niliamua kumnunulia smart phone.

Takriban miezi mitatu imepita toka nimnunulie simu aina smart kwa nia njema tu kutokana na kazi ya kuuza duka muda mwingine wateja hamna basi aitumie tu ku-refresh mind, lakin kadili siku zinavyokwenda naona hali inabadilika yaani amekuwa adicted mpaka majukumu yake anamwachia house girl wakati zamani haikuwa hivyo, juzi kati hapa nilitembelewa na mama yangu nae alishangaa ku huyo cm inamuongoza na c kuiongoza kama analeta nyodo mchane live ukiona zalau zinaendelea mnyanye cm na hata akinunua nyingine chukua huku kuna wanao chat nae ndo mana wanamtetea
 
Hahahahaha

Dogo kumbe kaoa njozini

Na story zake zisizoeleweka

GREAT THINKER
NI UWANJA MPANA SANA TOFAUTI NA AKILI NDOGO ZINAVYODHANI AU KUFIKIRI

kuna watu na taaluma zao tena ukute wana acces kubwa sana na internet lakin hawana obey na social media, mwingine ana simu ya gharama kubwa tena ya kisasa lakin ukimuuliza maswala ya internet hajui, wengine either kwa elimu, uwezo au ufahamu tu kuwa mdogo wa masuala ya kiteknolojia ameshindwa ku-acces internet. Hivyo basi tunatumia jukwaa hili huru kupeana habari, kujadili hoja zenye mlengo wa kusaidiana, kubadilishana mawazo n.k
vivyo vivyo mimi naweza kuwa mwakilishi mzuri wa sehemu ninayoishi na nikavaa uhusika wa kile nitakacholeta hapa jukwaani
madhali tu kina tija na hakivunji sheria na taratibu za jukwaa kama zilivyoweka.
Moja ya mada iliyowekwa hapo juu ni kuhusu mama mmoja kufanyiwa operation, ile mada ilikuwa msaada mkubwa sana kwa wahusika japo kwa leo sitaeleza nini kilitokea baadhi yao tuliwasiliana kwa pm na njia za simu kwa ushauri na mawazo yao ambayo yalitutoa sehemu 1 na kupiga hatua nzuri mbele
ni muda tu lakin niliahidi kuja na mrejesho wa nini kilijiri kwa wale wahusika

*usione umekamilika sana chini ya hili jua, sadam na fahari yake yote ulifika wakati akachimbuliwa kama kiazi*
 
Chai tu.....

apana, nakuomba usimuache kwanza, muelimisha, mpe elimu ya ziada juu ya mambo ya kiteknolojia, mfahamishe, mtishie, kakamaa, wew ni m.mme mnyooshe mkeo,
akishindikanwa msukumie talaka, na aende akaolewe na smart phone

Ha ha haaa
 
umeoa lini ??

story zako hazina series nzuri

ha ha ha ha ha ha ha ha

shule umemaliza lini dogo ?

Kumbe jamaa, ni zezeta namna hiyo anatuchezea wana jf na uongo wake!!!
 
Back
Top Bottom