Kwa hiyo jamaa aendelee nao tu msalaba wake mpaka atakapoufikisha?
Inabidi achekeche akili; pindi atakapowakoromea wakwe zake ndio atakapojua mkewe yuko upande gani;...ukipenda boga...
Na hatujajua ni misaada gani wanayotaka toka kwake; je ni msosi tu kama alivyosema The Boss au school fees etc...
Na ni kweli watu wa Pwani wanaishi kiujamaa sana which kwangu naona inapendeza kwa kuwa wengi hawana makuu kama watu wa bara, wako simple tu.
kuna ishu za utamaduni pia
wasukuma mfano wao kula hadi mshibe ni utamaduni zaidi
hawajui kujibana bana eti sababu ya bajeti....
na wakiwa ugenini wanaona ni 'dhambi' kujifanya hamli sana
wanaona kumheshimu mwenye nyumba ni kula haswaa lol...

Lakini ni two ways; ukienda kuwatembelea wasukuma lazima waingie jikoni (nimeona kwa wakwe zangu) wako so kind.
The truth shall set you free.
Nimeoa mwaka huu. Ndugu wa mke wananjaa sana halafu uelewa wao katika maisha mdogo sana, kila tatizo wakipata kimbilio kwangu, na mimi maisha yamenibana sana siwezi kuwalea. Mke wangu hadi amechoka na anaogopa kuwaambia ukweli, jamani naombeni ushauri nifanyeje. Hali sio nzuri.
Tatizo la kuoa waswahili