Ndoa yangu haina amani

Kama biashara ulimfungulia wewe basi anza kwa kufunga hiyo biashara

Kuna kitu tunakosea kuhusu hawa wanawake..
Katika maisha yako yote ya mahusiano usivumilie kiburi cha mwanamke katuuuu hata km ndo unatongoza, mwanamke akileta kibri block hapo hapo au vumilia gonga pita hivi.

Ukiwa kwenye mahusiano make it very clear sitaki kiburi ukioa the same.

Mwanamke siku zote atajaribu uanaume wako hawa watu wanapenda kutawala km ulikuwa hujui.Atakupima maamuzi ukiwa na hela na ukiwa huna hela?Atakupima vitu vingi sana.Kikubwa anataka kujua jinsi gani atakuwa juu yako!!hujiulizi kwanini wanaenda kuloga kwa waganga???

Utakachomzoesha ndo atakachofanya.Biashara umefungua wewe nenda na canter vunja kufuli uza mzigo wote hata km utapata sh 10000 Uzaaaa yaani ishu sio kuuza ishu nikumuonyesha tu kwamba nina maamuzi tena magumu sasa endelea na ujinga wako halafu mwisho wa siku tutaona.Nani ni nani

Biashara ufungue mwenyewe hlf eti naomba 2000???Anakuona mjinga

Kama ni nyumba uzaaa fanya biashara au jenga nyingine kisirisiri akiona kila kitu kinapotea ataanza kujirudi tukumbuke hawa watu uwaga wana ujinga wa asili na mara nyingi uwaga hautoki kwa kuwaweka chini na kuanza kuwaelewesha.

Ukisema ukae nae chini na kumuelewesha nilikufungulia biashara ili tusaidiane maisha na usiboreke,kibri kinazidi ila ukiuza biashara akiuliza sema haisaidii familia.

Ukiogopa kumpotezA mwanamke basi ujue utampoteza kweli.

Siri ni mbili usiogope kumpoteza na kuwa na maamuzi magumu ht kama ni yakijinga.Mwanamke anadharau sana sana sana mwanaume ambaye hana maamuzi.

Kuna wanaume ndoa zao zinadumu sababu wanawake zAo wanajua kabisa huyu mwanaume nikileta kiburi anarusha kofi sasa hivi na hapa patachimbika.Ni vby kupiga mwanamke lkn ndo ndoa zao zinadumu kwa maamuzi yao hayo hayo ya kijinga.Mwanamke ataleta kiburi akiwa mbali lkn face to face anajua huyu mwamba atatoa meno ya mbele sasa hivi.
Maamuzi maamuzi maamuzi.

Mpende mkeo lakini moyoni lazima ajue mume wangu dakika mbili mbele.
 
Ni bora ukaondoka kwenda kutafuta maisha na upya maana sioni nafuu yeyote utakayopata hasa mwanamke akiwa kama kichwa cha familia.
 
Kwanza nikupe pole kwa hilo ni janga la taifa.ndo maana alifanikiwa kuuwa uchumi wako ili akutawale kiuchumi na kifikra .hao wanawake wa kazazi hizi njoo pm nikushauli kitu
 
Njoo pm nakushauli kitu pole sana
 
Nimekusoma jembe wanaume wamebaki wachache sana wengi wa kulia lia ujinga huu
 
Mzee ebu kuwa serious bhana kama mwanaune acha unyonge, kuwa na kauli ngumu, + command

Vipi lakini mbuje anakupa ata upunguze mawazo??
 
Chunguza vzuri. Utakuta ana mchepuko ndo mana anadharau
 
Fanya vitimbi, chochea moto ili akimbie nyumba na akitoka tu uza hiyo nyumba anza upya, kimfaacho mtu chake buddah achana na kisharuala atakunyongea mbali
 
Write your reply...hawa viumbe ni changamoto sana.
 
We uwajui wanawake wa hivyo, mara mia ukope kwa watu baki usichukue hata shillingi moja kutoka kwa huyo mwanamke, hiyo utakayochukua kutoka kwake itazamisha hela yote, kwa sababu hela atakayotoa yeye itakuwa na maneno ya laana kama yote, ukiangalia kwa juju tu unaona bidii aliyokuwa nafanya ili biashara ya kwanza ife, unadhani atatamani upate ya pili. Kwake yeye iyo ya kwake na kumnyanyasa mumewe ni amefanikiwa kuliko BillGate hapo haoni mbele yaani kamaliza.

Hapo baba wewe komaa kivyako, tengeneza maisha yako upya kama uliweza jenga biashara na ukajenga na nyumba, kaza buti anza upya uangalie vyema hapo baadae mke na watoto wako na hayo matumaini eti utapewa moyo na mkeo achana nayo unajitesa bure sio kitu cha lazima kupewa moyo, ila ni kitu cha lazima kujipa moyo, jua tu hilo la kupewa moyo sio lazima wala uwezi lidai kokote wala hana moral obligation ya kukutia moyo, mafanikio ni yako watumiaji ni pamoja na mkeo na watoto. Futa machozi baba anza kazi
 
Dah, nimejisikia vibaya

We are so selfish jamani. Mkuu, ukiiza nyumba si atakusumbua kodi tena? Please, walk away. Mwachie kila kitu. Unakuta jitu limetoka kwao maskini wa kutupwa ila akikuta maisha bora ugenini nasi anabadilika kupita malelezo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…