Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

BMYmTVVhVkw



kitu gani hiki kamnunulia mkewe halafu una post kwenye mitandao
 
Caption za Shamsa kila akijiselfie Insta ni" nakupenda Mme wangu"

" Mme wangu Leo utakula nini, najua unapenda mlenda"

Mara

" Mme wangu najisikia kulia Leo "

Haaaahaaaahaaaa
 
Ndoa za mwendokasi wanaona raha watu kucheza kwaito na kuvaa Pete. Ndoa si ya kuikimbilia ukiwa hujajipanga
 
Aisee.. ubuyu wa motooo.. kweli shilawadu hawashindwi kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom