Ndoa ya mkeka!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa ya mkeka!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharo hiphop, May 19, 2011.

 1. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi ni sababu gani hasa inayowasababishia watu mpaka kufikia hatua ya kufungishiana ndoa ya mkeka?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280


  wewe sidhani kama unaelewa maana ya ndoa ya mkeka...
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  toa kwanza mawazo yako! wewe unafikiri ni kwa nini?
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ile si ndoa bwana ukizingatia maana nzima ya ndoa,ule ni uhuni tu wa watu wachache na ndo maana huwa hazidumu
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  mbona mimi na wewe tumedumu ?
   
 6. s

  shosti JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  labda wazoefu wa ndoa za mikeka ...harakisha karibu nahama vituka
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  unahamia wapi tena?
  bila ruhusa yangu?
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  matembele...tangu lini kidumu kikatoa rukhsa
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Yaani bado zipo hadi leo! Anyway, uzoefu wangu ni kuwa sababu kubwa huwa ni ya kiuchumi. Wazazi wa mwanamke wanataka kujivua majukumu ya kuendelea kumlea binti yao wakati amekua na hana dalili ya kuondoka - japo kuna ushahidi kuwa anafanya mavituz na majamboz.

  Btw: Dena na MR kabla hamjauliza (hamuaminiki nyinyi ati), uzoefu wangu si mimi binafsi kufungishwa hiyo ndoa ya mkeka ila ni kwa kuona wengine.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  he he hee
  matembele ndo wapi huko?
   
 11. s

  shosti JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kumbe weye mgeni wa mji eeee...ukonga unaingia ndanindani huko
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  sasa huko
  ndo mimi nitashindwa kuja?
  au kuna kidumu kingine huko?
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Karibu UK. mi ntakua mwenyeji wako ukipenda ndoo kabisa.....
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  tena huko ndo nnakokutaka huko,nifanyien utaratibu mkuu nije nile raha duniani
   
 15. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  shauri lako, mara una karibishwa anaingia shehe na wapambe... Tayari ndoa, huenda huyo jamaa kina dada wa uk washamgomea, so jipeleke tu.
   
 16. s

  shosti JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh nakweli bora umenigutua,maana haya maukaribisho mengine haya yana walakin
   
 17. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mh! Dar nyie, we acha tu:matembele,mchicha,kabich, spinach eti majina ya mitaa hiyo!
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahaha mradi visa
   
Loading...