Kaka iyo ndoa ya serikali stil unabarik uzinz tu apo cha msingi mke uliempata ni kibaki mbele za mungu nenda kwa watumishi wa dini yako uhalalishe ndoa.
kwahiyo bibi zako na babu zako waliowaana kimila walikuwa wanazini na wewe ni zao la uzinzi huo?
ok! itabid nifanye haraka........ Kwasababu hiz za kanisani tunamkufuru Mungu bure. Kufumaniwa kumezid sijui umepona mwenzetu
ukifanikisha uje unipe namm maelekezo namna ya kufanya. Kwasababu ndoa za siku hizi ukienda kanisani kula viapo ni kujiongezea dhambi nyingne. Unakula kiapo cha ndoa na mwenzio huku mawazo yapo kwa mwanamke/mwanaume mwingne, baada ya wiki mke/mme wa mtu kafumaniwa sasa yann kufuru mbele za Mungu
ha ha ha pole yako ila ukichepuka sio dhambi kwa MUNGU tu pia kwa huyo mwenzio...ila pouwa kama unajijua wewe mashine ina spidi za hammer fanya ya serikali mtu wangu aytime utaongeza mwingine
mimi bado bado npo nipo saana
Kama hayo ndo mawazo yako basi usifunge ndoa kabisa maana hata mkuu wa wilaya anafunga ndoa kwa niaba ya Mungu maana yeye ni mamlaka iliyowekwa na Mungu. Hata ukifungia kanisani utapewa cheti hicho hicho utakachopewa na mkuu wa wilaya. Kanisa na msikiti ni mawakala wa serikali kwa kufungisha ndoa. Halafu hebu nikumbusheni, Adamu na Hawa walifungishwa ndoa na padre gani tena yule, sijui shehe? Halafu lile kanisa alilofungia ndoa Isaka na Rebeka linaitwaje tena?
Kaka iyo ndoa ya serikali stil unabarik uzinz tu apo cha msingi mke uliempata ni kibaki mbele za mungu nenda kwa watumishi wa dini yako uhalalishe ndoa.
ewaaa! Kumbe basi ngoja niingie pm ili tuanze mchakato hapa silazi damu lazma nitumie fursa
kwanni PM??? kumbe wewe mwoga aaaaah
aaa! Kwahyo weye wataka hapahapa si ndio?
lipi tatizo.!
kipara feki ukifanikiwa just inform me nn na nn nifanye maana hata mm na DEMBA tupo njiani kulishana yamini mbele ya Hakimu!