Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,032 Reaction score 42,380 Jan 5, 2025 #21 Nifah said: Mtonyo sio sababu ya kuvunjika ndoa yao, Rich bado ana mambo mengi ujana mwingi anaruka sana. Hata ukimsoma vizuri hapo Wolper, utaona kabisa anaongelea hilo mara nyingi. Click to expand... Umesema wolper alikosea kuolewa na Rich ndo maana na mimi nimekwambia huenda huyo wolper alifaata mtonyo kwa mwana siyo material ya uhasband wa rich
Nifah said: Mtonyo sio sababu ya kuvunjika ndoa yao, Rich bado ana mambo mengi ujana mwingi anaruka sana. Hata ukimsoma vizuri hapo Wolper, utaona kabisa anaongelea hilo mara nyingi. Click to expand... Umesema wolper alikosea kuolewa na Rich ndo maana na mimi nimekwambia huenda huyo wolper alifaata mtonyo kwa mwana siyo material ya uhasband wa rich
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jan 5, 2025 #22 Beira Boy said: Umesema wolper alikosea kuolewa na Rich ndo maana na mimi nimekwambia huenda huyo wolper alifaata mtonyo kwa mwana siyo material ya uhasband wa rich Click to expand... Hapana, Wolper alimpenda kweli Rich na alishamaliza mambo mengi alidhamiria kutulia na kujenga familia. Kama ni mtonyo Wolper mwenyewe yuko vizuri sana, sio shida zake.
Beira Boy said: Umesema wolper alikosea kuolewa na Rich ndo maana na mimi nimekwambia huenda huyo wolper alifaata mtonyo kwa mwana siyo material ya uhasband wa rich Click to expand... Hapana, Wolper alimpenda kweli Rich na alishamaliza mambo mengi alidhamiria kutulia na kujenga familia. Kama ni mtonyo Wolper mwenyewe yuko vizuri sana, sio shida zake.
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 5,948 Reaction score 22,277 Jan 5, 2025 #23 Ile mipesa waliyoitumia kwa ajili ya harusi si bora wangeinunulia ndama wakafuga. By now wangekuwa na ng'ombe kadhaa wa maziwa. Nje ya mada, ule mjengo itakuwaje?? Au jamaa alikuwa anakaa kwa nguvu ya kiuno cha mkewe?
Ile mipesa waliyoitumia kwa ajili ya harusi si bora wangeinunulia ndama wakafuga. By now wangekuwa na ng'ombe kadhaa wa maziwa. Nje ya mada, ule mjengo itakuwaje?? Au jamaa alikuwa anakaa kwa nguvu ya kiuno cha mkewe?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,623 Reaction score 64,498 Jan 5, 2025 #24 Penzi la dunia ni la muda nalo lachakaa,
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,032 Reaction score 42,380 Jan 5, 2025 #25 Nifah said: Hapana, Wolper alimpenda kweli Rich na alishamaliza mambo mengi alidhamiria kutulia na kujenga familia. Kama ni mtonyo Wolper mwenyewe yuko vizuri sana, sio shida zake. Click to expand... Bas tumwombee Aman ya BWANA Awe na utulivu wa MOYO
Nifah said: Hapana, Wolper alimpenda kweli Rich na alishamaliza mambo mengi alidhamiria kutulia na kujenga familia. Kama ni mtonyo Wolper mwenyewe yuko vizuri sana, sio shida zake. Click to expand... Bas tumwombee Aman ya BWANA Awe na utulivu wa MOYO
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,001 Reaction score 48,527 Jan 5, 2025 #26 Sasa ndoa zenyew mbona hivi sikuhiz jamni
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,165 Reaction score 831,910 Jan 5, 2025 #27 Mamndenyi said: Penzi la dunia ni la muda nalo lachakaa, Click to expand... Ndoa ni zaidi ya mapenzi mtani
Mamndenyi said: Penzi la dunia ni la muda nalo lachakaa, Click to expand... Ndoa ni zaidi ya mapenzi mtani
Ndama Jeuri JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,546 Jan 5, 2025 #28 blessings said: Ile NDOA iliyosimamisha internet. Imevunjika rasmi. Source: Wolper mwenyewe BCC: katana ndoa View attachment 3193318 Click to expand... Ooh! Ndoa za kikatoliki hazivunjiki
blessings said: Ile NDOA iliyosimamisha internet. Imevunjika rasmi. Source: Wolper mwenyewe BCC: katana ndoa View attachment 3193318 Click to expand... Ooh! Ndoa za kikatoliki hazivunjiki
Dialogist JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 1,512 Reaction score 2,493 Jan 5, 2025 #29 blessings said: Ile NDOA iliyosimamisha internet. Imevunjika rasmi. Source: Wolper mwenyewe BCC: katana ndoa View attachment 3193318 Click to expand... Karibu Kwangu... ..Ni Hayo Tu!!
blessings said: Ile NDOA iliyosimamisha internet. Imevunjika rasmi. Source: Wolper mwenyewe BCC: katana ndoa View attachment 3193318 Click to expand... Karibu Kwangu... ..Ni Hayo Tu!!
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,001 Reaction score 48,527 Jan 5, 2025 #30 Ndama Jeuri said: Ooh! Ndoa za kikatoliki hazivunjiki Click to expand... Sikuhiz zinavunjika et jamni
Ndama Jeuri said: Ooh! Ndoa za kikatoliki hazivunjiki Click to expand... Sikuhiz zinavunjika et jamni
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,343 Reaction score 89,567 Jan 5, 2025 #31 Nifah said: Nilishawaambia lakini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa muda mrefu. Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich. Click to expand... Sio Rich alikurupuka kumuoa JW? Naukumbuka uzi wako. Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!
Nifah said: Nilishawaambia lakini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa muda mrefu. Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich. Click to expand... Sio Rich alikurupuka kumuoa JW? Naukumbuka uzi wako. Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!
La gioconda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 486 Reaction score 784 Jan 5, 2025 #32 Wenzetu wazungu hufunga ndoa za mkataba hakuna kuchoshana
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Jan 5, 2025 #33 Sio mbaya maisha lazima yaendelee.
Ilebayee Senior Member Joined Aug 3, 2020 Posts 141 Reaction score 694 Jan 5, 2025 #34 Ndo bhasi tena daah nikikumbuka kadi zilisambazwa na farasi nalia💔😩
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,588 Jan 5, 2025 #35 Numbisa said: Duh aiseee ndoa hizi Click to expand... Washatombana sana mpaka jamaa akachoka kaamua aingie mitini wapumzishane kwanza kitumbua kipoe, sirudi tena
Numbisa said: Duh aiseee ndoa hizi Click to expand... Washatombana sana mpaka jamaa akachoka kaamua aingie mitini wapumzishane kwanza kitumbua kipoe, sirudi tena
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,588 Jan 5, 2025 #36 Ilebayee said: Ndo bhasi tena daah nikikumbuka kadi zilisambazwa na farasi nalia💔😩 Click to expand... Washatombana weeeeeee oya
Ilebayee said: Ndo bhasi tena daah nikikumbuka kadi zilisambazwa na farasi nalia💔😩 Click to expand... Washatombana weeeeeee oya
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,842 Reaction score 25,760 Jan 5, 2025 #37 Beira Boy said: Ndoa za mitandaon hizi Ndoa za wana mitandao Click to expand... Nashangaa kabisa watu wanashangaa ndoa za kisanii kuvunjika,kuna ndoa humo au yanakuwaga maigizo tu. Ndoa iwe na mashabiki iitwe ndoa,labda kama mchezo wa kuigiza.
Beira Boy said: Ndoa za mitandaon hizi Ndoa za wana mitandao Click to expand... Nashangaa kabisa watu wanashangaa ndoa za kisanii kuvunjika,kuna ndoa humo au yanakuwaga maigizo tu. Ndoa iwe na mashabiki iitwe ndoa,labda kama mchezo wa kuigiza.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,812 Reaction score 55,629 Jan 5, 2025 #38 Ndoa ndoano
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jan 5, 2025 #39 Mad Max said: Sio Rich alikurupuka kumuoa JW? Naukumbuka uzi wako. Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya! Click to expand... Kwa namna ilivyokuwa, Wolper ndio alionekana kuwa na uhitaji wa ndoa zaidi. Kwakuwa aliihitaji ndoa, ilimpasa awe mtulivu kumpata aliye bora wadumu. Anyways, mambo mengine yanatokea tu. Tuwaombee kheri katika safari yao mpya ya kushirikiana katika malezi ya watoto.
Mad Max said: Sio Rich alikurupuka kumuoa JW? Naukumbuka uzi wako. Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya! Click to expand... Kwa namna ilivyokuwa, Wolper ndio alionekana kuwa na uhitaji wa ndoa zaidi. Kwakuwa aliihitaji ndoa, ilimpasa awe mtulivu kumpata aliye bora wadumu. Anyways, mambo mengine yanatokea tu. Tuwaombee kheri katika safari yao mpya ya kushirikiana katika malezi ya watoto.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,794 Jan 5, 2025 #40 Sasa sisi tufanyeje?