Ndoa ya flora mbasha ni ya mfano

Status
Not open for further replies.
Mleta mada tunawezamwita mchawi kwani baada ya mada tu maskendo yameanza.
 

Hii thread ama iliwekwa humu kwa lengo maalum au ilikuja kuleta nuksi
 
Sasa huo ndo tunaita unafiki!Yaani mara tu baada ya kusikia kuhusu kashfa ya Emmanuel Mbasha unakuja na thread kama hii?Ebu acheni unafiki usio na maana bwana!!!!!!
 

tayari yule mcheza show,checkbob na mume wa flora mbasha ana kashifa mbichi ya kumbaka shemejie.wewe uko wapi?.au umekuja kutupima?
 

Hawa mi nadhani ni mojawapo ya couples zinazopendeza sana Tanzania
 
umetumwa wewe. Hebu nenda kaulize habari zao kituo kidogo cha polisi tabata aroma kwanza ndipo uje hapa!
 

we nawe... utadhani uko katika mtihani wa lugha kingereza/kiswahili na umeambiwa uandike kinyume/opposite!
Au uko simiyu?
 
nimeangalia jina lako mleta hii habari nikafikiri na unachotaka kutuaminisha nikagindua umeiandika kipendwa zaidi!!
 
Haiwezekani kubakwa ndani ya gari! Walikubaliana kwa vile ulikuwa ni mtego.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…