Ndoa ya CCM na Polisi inatuharibia nchi

Huwezi kuitenganisha Ccm na vyombo vya dola maana kila mmoja ananufaika na mwenzake.
 
Kama chama hakitajisahihisha basi ni vyema wapigakura wakaiokoa nchi isiendelee kuzama zaidi
Hao wapiga kura hawana cha kuifanya Ccm, hata hizo kura zao Ccm haizihitaji ili kupata ushindi.
 
Igp anaogopa maisha anatafuta ubalozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…