Wake za watu ambao hawajaachana na waume zao.Ndio shida ya kuoa wake za watu
Kuna jamaa alikuwa anajilizaliza kwenye harusi yake labda ndo mwenye mke.Kwani alikuwa mke wa mtu huyo???
🤣🤣🤣🤣 ndio maana sichangiii.
Wanaume wengi kwenye ndoa wanatombewa na wao wanatomba nje ila ukiingia kwenye ndoa na akili za kitoto kuachana na mume au mke ni suala la kugusa tu, waliokomaa wanatombewa sana na bado wanakomaa na ndoa zao usione watu wanaishi ndani ya ndoa wanavumiliana mengi mengi mengi sana likiwemo hilo la kutombewa na kusalitiwa nje, wakomavu wanasema kwani ni kitu gani wanaendelea na ndoa zao hivyo hivyo, ninao ushahidi wa kutosha tena kuna mwamba ni black totally ila mtoto aliejifungua mkewe ni muarabu watu kuuliza huyu kuarabu katokea wapi tena jamaa hana jibu maana na yeye ana list ndefu kazaa nje ya ndoa kwa hio ngoma draw maana akimbana mkewe atamwambia na wewe wale watoto uliozaa nje kule ilikuaje? Ndoa haiitaji watoto na wenye akili za kitoto, Kamwe bado akejaa utoto mwingi subiri kwanza utoto umtoke ndio aoeKwani jamaa ana tatizo gani maana naskia hii ni ndoa ya pili au ya tatu. Ni bahati mbaya anaokota mabomu au ana tatizo mahali?
Huyu Ali kawafanyia nini 😆, leo kuanzisha nyuzi mmeamua tangu kumekucha
Kwa hiyo Coco=Poker au imetokeaje hii? Comment moja muda uleule!!!Huyu Ali kawafanyia nini 😆, leo kuanzisha nyuzi mmeamua tangu kumekucha
Kama ni kweli basi alioa malaya. Miezi mitatu hata kama hupigi mechi vizuri mwanamke hawezi kutoka nje ya ndoa.Alikamwe amekaa kushabikia timu yake huku akisahau wajibu wake kwa mkewe bwana alikamwe anadai kuwa mkewe alimcheat
Ndoa sio kitu cha kukimbilia hovyohovyo ndoa hata miezi 3 haijaisha
Au mwanetu hapigi vizuri maana ad mke kaamua kumcheat maana ake alikamwe hajui kuipiga vizuvizuri nini?
Najua alikamwe umo humo bro hudhuria vikao vya wanaume wenzako.
View attachment 3472782
Kwa hiyo Coco=Poker au imetokeaje hii? Comment moja muda uleule!!!
So what stupidity in jamii forumsAlikamwe amekaa kushabikia timu yake huku akisahau wajibu wake kwa mkewe bwana alikamwe anadai kuwa mkewe alimcheat
Ndoa sio kitu cha kukimbilia hovyohovyo ndoa hata miezi 3 haijaisha
Au mwanetu hapigi vizuri maana ad mke kaamua kumcheat maana ake alikamwe hajui kuipiga vizuvizuri nini?
Najua alikamwe umo humo bro hudhuria vikao vya wanaume wenzako.
View attachment 3472782
Kwa hiyo Coco=Poker au imetokeaje hii? Comment moja muda uleule!!!
Usitudanganye na hapo hulali peke yakoNdoa is overrated