Ndoa ya aina yake yafungwa Dar

Ila mdogo wangu bahati ya kuchelewa hivyo hata haina raha kwa kweli.

Marahaba! Miss u my mdogo. Usiwe unajificha bana.
Katokea mbali huyo ni mume wa tano bila shaka[emoji16]


Miss you pia mwaya,naogopaaa wakubwaaa(mashushu)angalau hapa nina amani nimeona uwepo wako
 
Haya mambo bwana siku moja niko kibaruani wamekuja wateja mwanaume 70+ mwanamke 30+, nimeongea nao nikamwambia Yule dada ongea vizuri na baba yako mpate ufumbuzi dada ananiambia huyu ni mume wangu. Wakati wanaondoka nikaona mdada ana sukuma Range Rover Sport new model.
 
Katokea mbali huyo ni mume wa tano bila shaka[emoji16]


Miss you pia mwaya,naogopaaa wakubwaaa(mashushu)angalau hapa nina amani nimeona uwepo wako

Ooh. Itakuwa anapenda zile kukuru kakara sio bure. [emoji125] [emoji125]


Usijali mdogo wangu nikiwepo dada ako kuwa na amani hakuna wa kukushua.

Uwe na siku njema my mdogo.
 
Ooh. Itakuwa anapenda zile kukuru kakara sio bure. [emoji125] [emoji125]


Usijali mdogo wangu nikiwepo dada ako kuwa na amani hakuna wa kukushua.

Uwe na siku njema my mdogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aya dada ahsante naww piaaa
 
Money talk my dada

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…