HizMAJESTY
Senior Member
- Aug 6, 2019
- 130
- 523
Kakwambia nani kuwa bikira ndo haijui pesa!! kinachodumisha ndoa na mahusiano ni stability ya uchumi, ukiyumba kifedha ndo utajua kuwa hata malaya waliwahi kuwa na bikira ila ndo hivyo tena hawana tena hisia za mapenzi ya kweli.