Ndoa tamu ni ya mpenz wa kwanza

Ndoa tamu ni ya mpenz wa kwanza

mumewanguu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
261
Reaction score
259
Amini usiamini,endapo watu wanaoanza mapenz wataoana Yan namaanisha mabikra ndoa yao huwa na furaha na Mara nyingi hudumu
Hii ni kutokana na ukweli kua kila mtu hajui mpenz mwingne yaan hafanyi comparison hivo kila mmoja anamwona mwenzie mtamu tu
Sasa jichanganye uoe janamke limechezea kila aina ya mtulinga,Lina jua kila style kila saiz,utaitwa kibamia frnd
Na we mdada uolewe na kashapitia wadada kibao wenye shundu za kueleweka ,mnato,seeme refu,
Hi ndoa haitadumu coz atakua anakulinganisha na wengine
Ushauri!: endapo utakutana mwenza ambae ni mgeni ktk mapenz fanya muoane
 
Sijui kwanini,Mpenzi wangu wa kwanza kabisa, ameolewa lakini bado tunapendana sana, ijapokuwa kila mtu yupo na mahusiano mengine, lakini ile nguvu ya upendo wa awali ni kubwa sana yani hata tukikutana tunatamani kabisa kufanya kitu.
 
Yan ni ukweli...mwanamke akishakuwa na uhusiano zaidi ya mmoja...akija kuolewa Mume ataimba Haleluuyaaa...!!hyo ht kwa wanaume pia..!!ndo maana ndoa za siku hizi hazieleweki

Wengi wanaolewa kanyaga twende...!!na c kutoka moyoni
 
kutokuwa umeonja asali ndio nguzo kuu ya ndoa... Sasa hiyo nguzo wengi wetu tulishaichakachua hamna uimara tena kwenye ndoa.
 
Aiseeeee
tapatalk_1516976434382.jpeg
 
Hao wenye mihogo hawaoi? Au na wenyewe wataitwa vibamia wakishaoa?

Wenye mnato na vishundu hawaolewi?

Binadamu alivyo na asili ya kujaribu na dunia hii ya utandawazi unategemea utamficha mwandani wako ukweli kuhusu mapenzi kaasababu hajawahi kufanya kabla?
 
Asikwambie MTU kila k ina ladha tofauti, hakikisha unaoa mwanamke mwenye k tamu maana kuna zingine chungu kama muharubaini
 
1. Usioe mwanamke asiye na bikra.
2. Usioe mwanamke masikini

Wachache watanielewa
 
Amini usiamini,endapo watu wanaoanza mapenz wataoana Yan namaanisha mabikra ndoa yao huwa na furaha na Mara nyingi hudumu
Hii ni kutokana na ukweli kua kila mtu hajui mpenz mwingne yaan hafanyi comparison hivo kila mmoja anamwona mwenzie mtamu tu
Sasa jichanganye uoe janamke limechezea kila aina ya mtulinga,Lina jua kila style kila saiz,utaitwa kibamia frnd
Na we mdada uolewe na kashapitia wadada kibao wenye shundu za kueleweka ,mnato,seeme refu,
Hi ndoa haitadumu coz atakua anakulinganisha na wengine
Ushauri!: endapo utakutana mwenza ambae ni mgeni ktk mapenz fanya muoane
Sawa Mke Wangu umenena Vyema
 
ingekua ivo wale high school sweethearts wangekua wameshaoana: maaana ndo mahusiano ya kwanza huanzia apo, lakini mara nyingi wanashindwana baada ya mmoja kutoka nje
 
Sijui kwanini,Mpenzi wangu wa kwanza kabisa, ameolewa lakini bado tunapendana sana, ijapokuwa kila mtu yupo na mahusiano mengine, lakini ile nguvu ya upendo wa awali ni kubwa sana yani hata tukikutana tunatamani kabisa kufanya kitu.
Dah! Hii nilijua ni kwangu tu kiongozi..
 
Back
Top Bottom