Ndoa tamu jamani

Ndoa tamu jamani

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Jamani nilisahau kuwaambia nilioa mwezi wa kumi na mbili. Nimeona nitulie tu maana hizi papuchi haziishi utamu kadri unavozila ndio unapata hamu zaidi.

Sasa najiuliza ni mwanzo tu au nitegemee suprice uko mbeleni maana hubby umeshakula.Hubby chakula tayari na hilo neno hubby mpaka nilizoee. Ngoja tuone.
 
Mmh!tunasubiri mrejesho,kama ulivyotuambia leo tunakupongeza kwa hilo, but yakianza usisite kuomba mwongozo coz naona umeanza kumtukana mamba hujavuka mto,Hahahahhh just kidding.
 
hahahhha welkamu to ze world mwisho mwaka 1 tu. baada ya hapo kama ulikuwa hujui kuwa ananuna basi ndo utamshuhudia

Kwa kweli nimejiandaa kisaikolojia...sasa nifanayaje..maana umri nao unaenda.
 
Hongera sana mkuu benteke, ila nauliza tu umeoa mwezi December mwaka gani?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa benteke ni mapema sana kutoa tathimini ya ndoa kwa sasa, anyway hapo bado unaonjeshwa utamu subiri baada ya miaka mitatu uje utuletee thread km hii ya leo.
 
Last edited by a moderator:
Ok mkuu again hongera ila safari bado ni ndefu sana. Nakutakia maisha mema ya ndoa.

kama una kitu unataka kunishauri vile mdida niambietu.
 
Last edited by a moderator:
kuoa lazima ni hitaji la kila mwanadamu unaweza ukabishaaaa weeee but iko siku tu utaoa na kutulia cha msingi usichoke kuwa na mawasiliano naye inakuwa rahisi sana kurekebisha tatizo mapema linapoanza tu kujitokeza. maana sisi ni binadamu sasa yeye akinuna ukiona hivyo lazima kuna jambo lako limemkwaza na kuzungumza anashindwa inabidi atumie lugha ya vitendo. so kuwa makini kusoma lugha yake ya vitendo na mzungumze haraka muwezavyo na siyo na wewe unaamuwa kununa haitosaidia. benteke
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa benteke ni mapema sana kutoa tathimini ya ndoa kwa sasa, anyway hapo bado unaonjeshwa utamu subiri baada ya miaka mitatu uje utuletee thread km hii ya leo.

Kwa kweli kuna wakati nilishasemaga sioi..nikaja kugundua kuna wakati unakua lonely aisee. Hayo mengine tutaumiliana tu.
 
kingine; kama sasa hivi hubby ni nyingi....baby umekula...anakupikia vizuri sana...anakupokea ukirudi....hivi vyote vinote down...baadae akianza kujisahau tu MKUMBUSHE!!! ili arudi kwenye mstari na kurekebisha alipokosea. karibu kwenye ndoa kaka ni tamu si uwongo.
 
Hongera mkuu , ila kumbuka kuwa "sio rahisi kupita njia moja tu siku zote za maisha pindi unapoelekea nyumbani ingawa nyumba iko eneo lile lile ilipojengwa" tafakari mkuu benteke
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom