Wengine wamefikia hatua ya kutafuta wanaume au wake wa kizungu..au race nyingine ila huko ndo hali inakua mbaya zaidi.
Rafiki uckaze saaana... Legeza bhanaSalam,
Nimesukumwa kuandika hii post baada ya kusoma matukio kadhaa ya watu walio kwenye ndoa wakielezea majuto na shida wanazopataahahhahaha.Wengine wamefikia hatua ya kutafuta wanaume au wake wa kizungu..au race nyingine ila huko ndo hali inakua mbaya zaidi..Ningependa kuwakumbuusha ndugu zangu wana JF...NDOA SIO LAZIMA JAMANI.HAKUNA MAHALI IMEANDIKWA KUWA LAZIMA KUOANA.so, be happy with what you are doin and live your life...you only live once friends ahahahha
Welcome to Our Single Community Forum www.singleshelp.org ahhhaha huku tunapeana hopes and how to enjoy life...hamna stories za cheating..ohh! mara ameninyima sex...mara nanii yangu ndogo etc.
daaah hizi habari mie hazinitishi..sasa umefanikiwa almost kila kitu(scenario) tu hiyo why ukae mwenyewe tu enh? me ntaoa tu hata kama watu wanapata matatizo challenge nilizopitia siwezi shindwa ndoa aisee( thats what i see now ingawa direction sina) principle ni kuridhika tu aisee...kuna mtoto nikimpata me najua pale nimefika natua mabegi yangu yooote aiseee daaahh aiseee..mkuu itakua hujapata kumpenda mtu wewe...!!! mtazamo wangu huu tu...Salam,
Nimesukumwa kuandika hii post baada ya kusoma matukio kadhaa ya watu walio kwenye ndoa wakielezea majuto na shida wanazopata ahahhahaha.Wengine wamefikia hatua ya kutafuta wanaume au wake wa kizungu..au race nyingine ila huko ndo hali inakua mbaya zaidi..Ningependa kuwakumbuusha ndugu zangu wana JF...NDOA SIO LAZIMA JAMANI.HAKUNA MAHALI IMEANDIKWA KUWA LAZIMA KUOANA.so, be happy with what you are doin and live your life...you only live once friends ahahahha
Welcome to Our Single Community Forum www.singleshelp.org ahhhaha huku tunapeana hopes and how to enjoy life...hamna stories za cheating..ohh! mara ameninyima sex...mara nanii yangu ndogo etc.
the captivity of negativity...[/QUOTE
Unajua hapa ndo kuna tatizo hasa...most of you guys nadhani mko kwenye mental slavery bado ndo maana ukiona mtu ana think freely unasema captivity of negativity....for your info. i'm not having any form of depression and i really like myself as i'm and ni baada ya kufikiria kwa kina nikagundua hili swala.
the captivity of negativity...[/QUOTE
Unajua hapa ndo kuna tatizo hasa...most of you guys nadhani mko kwenye mental slavery bado ndo maana ukiona mtu ana think freely...
What is freely thinking?
Have you ever thought the purpose of you being a male or female?
By the way, what is marriage?
daaah hizi habari mie hazinitishi..sasa umefanikiwa almost kila kitu(scenario) tu hiyo why ukae mwenyewe tu enh? me ntaoa tu hata kama watu wanapata matatizo challenge nilizopitia siwezi shindwa ndoa aisee( thats what i see now ingawa direction sina) principle ni kuridhika tu aisee...kuna mtoto nikimpata me najua pale nimefika natua mabegi yangu yooote aiseee daaahh aiseee..mkuu itakua hujapata kumpenda mtu wewe...!!! mtazamo wangu huu tu...
Nakuwa na wasiwasi.....Salam,
Nimesukumwa kuandika hii post baada ya kusoma matukio kadhaa ya watu walio kwenye ndoa wakielezea majuto na shida wanazopata ahahhahaha.Wengine wamefikia hatua ya kutafuta wanaume au wake wa kizungu..au race nyingine ila huko ndo hali inakua mbaya zaidi..Ningependa kuwakumbuusha ndugu zangu wana JF...NDOA SIO LAZIMA JAMANI.HAKUNA MAHALI IMEANDIKWA KUWA LAZIMA KUOANA.so, be happy with what you are doin and live your life...you only live once friends ahahahha
Welcome to Our Single Community Forum www.singleshelp.org ahhhaha huku tunapeana hopes and how to enjoy life...hamna stories za cheating..ohh! mara ameninyima sex...mara nanii yangu ndogo etc.
Pole inaonekana utazini through out of your life.kila mmoja ana chaguo la mfumo wake wa maisha.Mungu aliyeweka ndoa c mjinga lakini amekupa chaguzi mbili ''UZIMA WA MILELE AU MAUTI''LUKA 16:16-25.