Ndoa si kitu cha mchezo mchezo

Unywaji pombe ni mojawapo tu katika yote, nahitaji lililo kuu kabisa ambalo husababisha NDOA kuwa ngumu hata kwa wale wasio tumia pombe..
 
Unywaji pombe ni mojawapo tu katika yote, nahitaji lililo kuu kabisa ambalo husababisha NDOA kuwa ngumu hata kwa wale wasio tumia pombe..
Ko ko koooooo kuna mtu hakujali mazingira yake, mwingine aliyajali san.. Lkn siku moja wote wakaumwa ? .

Bila shaka ,kisababishi cha wao kuumwa , mpaka matibabu hutofautiana sio nahuenda mmoja aliumwa kipindu pindu. Mwingine akauumwa homa tu ??.

Sasa basi huwezi kua nasababu moja ilosababisha hawa watu wawili kuumwa., kila mtu anasababu zake.na moja ya sababu hiyo ni unywaji wa pombe wa wanywaji !!

Wasokua wanywaji pia wanasababu zao !! Ivo hamna sababu ya kiujumla nayoweza kukupa ,ila tu km hujaanza kunywa usinywe na km umeshakua sugu endelea!![emoji23][emoji23][emoji23]

Veri simpo
 
Unywaji pombe ni mojawapo tu katika yote, nahitaji lililo kuu kabisa ambalo husababisha NDOA kuwa ngumu hata kwa wale wasio tumia pombe..
Ndoa inahitaji uvumilivu,kitu ambacho vijana wa sasa hatuna. Wazee wa zamani waliishi kwenye ndoa zaid hata ya 50yrs bila kuachana hata kwa talaka moja,waliweza sana kuvumiliana kwenye mapungufu yao
 
Unywaji pombe ni mojawapo tu katika yote, nahitaji lililo kuu kabisa ambalo husababisha NDOA kuwa ngumu hata kwa wale wasio tumia pombe..
Kuna ndoa zinavunjika kisa show mbovu kitandani,upishi mbovu nk[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Sasa ndiyo umeamua kuandika unitishe ama?? Jua na mimi siyo wa mchezomchezo nakuoa tuu ila uache tamaa pia maisha magumu pia ni changamoto tuvumiliane wenda zikaisha au zisiishe bila shaka imekuingia.
Utabadilisha dini uwe muislam ili unioe kwani?
 
Ndoa inahitaji uvumilivu,kitu ambacho vijana wa sasa hatuna. Wazee wa zamani waliishi kwenye ndoa zaid hata ya 50yrs bila kuachana hata kwa talaka moja,waliweza sana kuvumiliana kwenye mapungufu yao
Wazee wa zamani hawakuolewa kwa sababu wanapendana na wanaowaoa. Wengi unakuta baba kampenda binti wa familia fulani kijani unaambiwa ukaoe hapo na mama nae anakua hawez kukataa. Ndoa ilikua kwa ajili ya kukuza mahusiano na kuzaa watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…