nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.

Ongera yakonakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
Tatizo watu wakishaolewa wanavaa kizee na kupoteza mvuto,vaa mavazi ya kumtamanisha mzeeOngera yako
Wengine huku ni full Majanga.
Mme anachelewa kurud nyumban? Akirud Kalewa chakar? Hatuwezi hata kukaa tukajadili Maisha.
Hujakaa sawa kesho wanakuja watu ntumban wanamdai fedha!
Yani we acha tuu ni Shida tupu.
Nimeona lawama zimezidi sana humu jamvini nikaona ngoja mimi niwape maneno kidogo. Unajua kwa nini wanaum wengi tunatumia akili za like badala ya kutumia akili ya wanaume. Akili ya wanaume ina kipimo chake na maamuzi ya kujenga na ya kutia hofu nzuriMzee baba leo shemeji kaongeza viuongo kwenye chakula nini?
Hongera.
Teh teh teh !! Siombei mkuu, hongera sana.Ukiwa na mindset ya namna hii hats ikitokea jambo Dogo la kulimaliza mwenyewe unaweza kwenda kwa jirani kuomba msaada na badae ukachekwa