Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Wanawake wengine wanataka kuolewa kwa hila ,
Ikifika mahala Mwanaume amefulia na mmejenga Nyumba mwanamke anamtafutia sababu ya kuachana ili mgawane mali [emoji108][emoji108]
Hivi mwanamke unakuta hajachangangia hata 100 kwenye kujenga hiyo nyuma au nyumba kadhaa lakini anapekua Simu ya Mwanaume atafute sababu ya kudai talaka.
Ukiulizwa ulimkuta live hapana ila nimekuta sms chats kwenye simu , huoni hata haya wewe mwanamke wa hivyo?
Chats za Simu zikupelekee kudai talaka?
Ni kwamba ulishamchoka na unataka Mali ndio maana ulikuwa unatafuta sababu. [emoji108][emoji108]
Mwanamke mwenye tamaa ni hatari sana.
Mwisho mje uuliwa bure unafikiri ni wanaume wote watakubali kirahisi?
Angekuwa ni ndugu yako anafanyiwa hivyo ungekubali?
Wewe mwenyewe unajua kabisa hujachangia hata mia [emoji108][emoji14]