Ndoa ni paradiso ndogo


Simplicity, ngoja nije nione nitamshauri vipi, maana mashemeji wasikuhizi hawajambo!
 
Last edited by a moderator:
Sawa Mkuu Simplicity hapo kwa kiasi kikubwa unaweza kuombwa ushahidi lol! si unaijua JF? Angalia shemeji asije kustukia minyato yako kwa huyo dada lol! πŸ™‚πŸ™‚

Nimestuka sikwenda mkuu, nimemwambia hata kama tupo majirani anipigie simu tujadili tatizo lake.

Kuhusu hili swala la ndoa ngoja tusikie Smile anasemaje na Evelyn Salt, kuna watoto wengine ukiwaita hapa watoe xperience wataangua kilio bora niishie na hawa wawili.
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi chale zimekucheza πŸ™‚πŸ™‚ bora...maana unaweza kudhani unafanya minyato hakuna anayekuona kumbe mwenye mali zake anakuchora tu.

 

dah! sa mbona mi mwenywe ni walele wa kuangua kilio???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…