Ndoa ni paradiso ndogo

Zyamwelele

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
405
Reaction score
155
Makusudi ya Mungu nikuifanya ndoa iwe paradiso ndogo' kwawanandoa mnatimiza agizo la Mungu? au ndoa ndoano?
 
...kwa wengine imechukua sura ya jehanam ndogo
 
Ni kweli kabisa!ndoa ni paradiso ndogo.ndoa unaiweka unavyotaka iwe.
 
sehem iliyojaa amani na vicheko' watu wanafurahi tu!!! hapo mbado tu?

sante mkuu! Meelewa now.ok ni kama paradiso ndogo endapo wanandoa wataelewana vzuri katka mambo yao otherwise ni kama ikulu ya shetani!
 
sehem iliyojaa amani na vicheko' watu wanafurahi tu!!! hapo mbado tu?

Mimi na-enjoy sana maisha ya ndoa, nikisikia kwamba kuna watu ndoa zao zina matatizo huwa namshukuru sana Mungu kwa kunipa huyu mwanamke, tena hii thread imenikumbusha kitu ngoja kesho nimnunulie zawadi mke wangu
 
Zyamwelele. Umesema kweli mkuu. Shetani anaipiga sana vita kwa kupandikiza undoano. But kwa kuwa Mungu ndiye aliyeanzisha, ukimtegemea hakika itasimama.
 
Last edited by a moderator:

"I Need"

[Verse 1: Tank]
I hope you see my heart from here,
And I hope that this will make us strong,
I hope the truth is made you clear,
And I hope that we can learn and move on,
This time the stakes are way too high,
I see what I'm about to lose,
It's time to let the old me die,
Mistakes or love I gotta choose.

I know I said that I was gonna change a long time ago,
That's what I said (I said, I said),
Guess it takes some dirt in order for a real man to grow.

[Hook:]
Now I know,
It ain't ever worth your heart,
And it ain't ever worth your tears,
And it ain't ever worth those scars that might not heal,
I need, I need, I need (you),
I need, I need, I need (you),
I need, I need, I need (you),
I need (now my love), I need (now I know), I need.

[Verse 2: Tyrese]
Tired of being in the same place,
I done ran out of ways to say I'm sorry,
Instead of running a judge on the same case,
Tired of being dead last in the same race,
I'll admit it,
Probably should've did it,
Cause it's breaking down,
I don't know how to fix it,
We've been here before,
Don't know how to act,
If I let you walk out the door,
I know you ain't coming back baby.

I know I said that I was gonna change a long time ago,
That's what I said (I said, I said),
Guess it takes some dirt in order for a real man to grow.

[Hook:]
Now I know,
It ain't ever worth your heart,
And it ain't ever worth your tears,
And it ain't ever worth those scars that might not heal,
I need, I need, I need (you),
I need, I need, I need (you),
I need, I need, I need (you),
I need (now my love), I need (now I know), I need.

[Verse 3: Ginuwine]
I can't let you go,
I'm in love,
I know the things I did was wrong,
Please girl let me make it up,
And your the best I've ever had,
Baby you're all that I need,
You gave me everything,
And I took it for granted,
So can we go (where we can be all this in love)
Somewhere way too far from giving up (if wrong is wrong),
If wrong is all I've never been,
But all I want is love again (with you, you, you, you),
And baby I know.

[Hook]
Now I know,
It ain't ever worth your heart,
And it ain't ever worth your tears,
And it ain't ever worth those scars that might not heal,
I need, I need, I need (you),
I need, I need, I need (you),
I need, I need, I need (you),
I need (now my love), I need (now I know), I need.
 
Last edited by a moderator:
Sijao lakini naamini anayefanya ndoa iwe paradiso au jehanam ni mwanaume, tumeambiwa tuishi kwa akili na wake zetu, kwa hiyo hilo halinisumbui kichwa. Wanaoona ndoa ni janga wameshindwa kutumia akili kuishi na wake zao. Over
 
Mimi na-enjoy sana maisha ya ndoa, nikisikia kwamba kuna watu ndoa zao zina matatizo huwa namshukuru sana Mungu kwa kunipa huyu mwanamke, tena hii thread imenikumbusha kitu ngoja kesho nimnunulie zawadi mke wangu

hivi ndivyo mwanaume wa ukweli anatakiwa awe! Hongera sana
 
Sijao lakini naamini anayefanya ndoa iwe paradiso au jehanam ni mwanaume, tumeambiwa tuishi kwa akili na wake zetu, kwa hiyo hilo halinisumbui kichwa. Wanaoona ndoa ni janga wameshindwa kutumia akili kuishi na wake zao. Over

Exactly!!!!!
 
Mkuu matatizo ndani ya ndoa huwezi kulaumu jinsia moja tu. Jinsia zote mbili zinahusika kwa namna moja au nyingine katika matatizo yaliyomo ndani ya ndoa na hata hapa jamvini kuna mifano chungu nzima ambayo imewahi kutolewa na wale yaliowafika ikiwemo wanaume pia.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...angu-amezaa-na-mume-wa-mtu-6.html#post7306942

Sijao lakini naamini anayefanya ndoa iwe paradiso au jehanam ni mwanaume, tumeambiwa tuishi kwa akili na wake zetu, kwa hiyo hilo halinisumbui kichwa. Wanaoona ndoa ni janga wameshindwa kutumia akili kuishi na wake zao. Over
 


Mchumba sio mke, mie naongelea ndoa mkuu, utashangaa huyo pamoja na kuzaa na mme wa mtu jamaa ataendelea kumng'ang'ania, kama sio kukosa akili ni nini? Mara nyingi matatizo ya ndoa chanzo ni wanaume kwa namna mbalimbali mkuu.
 
Mkuu miaka michache iliyopita kulikuwepo na uzi hapa jamvini kuhusu Wanaume 225 waliokuwemo ndani ya ndoa Tanzania ambao walikuwa na wasiwasi kama wao ndio biological fathers wa watoto waliopatikana katika ndoa zao hivyo wakaamua kufutilia kwa karibu na na kufanya DNA testing ili kutafuta ukweli. Majibu waliyoyapata yalionyesha katika wanaume wale 225, 150 sawa na 66.6% hawakuwa na nasaba yoyote na wale watoto.

Hakuna concrete research iliyofanyika ili kuonyesha ni jinsia ipi inayohusika zaidi na matatizo katika ndoa hivyo kulaumu jinsi moja tu iwe ni KE/ME si sawa hata kidogo. Kuna mdada humu mke wa mtu miaka iliyopita aliwahi kuanzisha uzi. Alisema kwamba jamaa kazini kwake alikuwa anamuomba papuchi kila mara siku moja akaamua kumpa na siku hiyo hiyo akashika mimba na kuzaliwa motto copy right na muhusika. Mumewe hakustukia lolote na alikuwa anamlea motto yule kama mtoto wake kabisa. Ndipo njemba ilipoanza kudai mtoto wake na kumuacha dada achanganyikiwe kupita kiasi na kuja hapa kuomba ushauri wa nini cha kufanya. Tuwe fair tunapojadili kesi kama hizi bila kulaumu upande mmoja zaidi kuliko mwingine.

Have a greta day πŸ™‚πŸ™‚



Mchumba sio mke, mie naongelea ndoa mkuu, utashangaa huyo pamoja na kuzaa na mme wa mtu jamaa ataendelea kumng'ang'ania, kama sio kukosa akili ni nini? Mara nyingi matatizo ya ndoa chanzo ni wanaume kwa namna mbalimbali mkuu.
 
BAK. Nimekuelewa hoja yako, ila kwa kiasi kikubwa chanzo huenda ikawa ni wanaume. Nikioa mke akanifanyia hayo, pamoja na fadhila zote nitakazomfanyia, basi huyo atakuwa sio mke ni zimwi, nitakubali kwamba niliingia chaka.
BAK Lady doctor kuna dada jirani yangu hapa ananiita, analalamika, anasema naombe uje kunishauri shemeji yako amezidi. Naenda kumsikiliza, kwa kuny'ata lakini.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Sawa Mkuu Simplicity hapo kwa kiasi kikubwa unaweza kuombwa ushahidi lol! si unaijua JF? Angalia shemeji asije kustukia minyato yako kwa huyo dada lol! πŸ™‚πŸ™‚

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…