Ndoa ni nusu ya dini

Ndoa ni nusu ya dini

Wanaoongoza humu ndani kuongea hivyo kataa ndoa ni wakristo,kweli uislamu ni dini ya haki na kweli
 
So tutakaa kutafuta maendeleo kwa ajili ya mwanamke tu?? yani nimeoa feminist tumeachana, mali zangu zimepigwa pasu, nimeoa tena imetokea the same mali zimepigwa pasu, aiseee....!!! Mtoa mada umepuyanga vibaya sana...bila sheria ya ndoa kubadilishwa hatuoi,, KATAA NDOA, NDOA NI UJAMBAZI, NDOA NI UHAINI.

Hivi mali inayopigwa pasu sio ile mliyochuma kipindi upo naye au hata ile aliyokukuta nayo?
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom