Ndoa ni ndoa vingine mbwembwe

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,372


Nashangaa wanaoweka magarama ya ajabu ajabu wakati maisha ni simple kama hivyo
 
Hicho ni kituko wala hamna kitu. kama ni gharama si watembee tu waende zao?
 
​simple as that.....................huuuuuuuuuuuuh masista duu wetu wa leo sidhani ka atakubali kuolewa dizaini hii
 
​simple as that.....................huuuuuuuuuuuuh masista duu wetu wa leo sidhani ka atakubali kuolewa dizaini hii

Alafu hao hao ndo hawawezi kudumu jwenxe ndoa zao
 
Sidhani kama ndoa ikiwa ya garama saana ndo itadumu ama?
 
Ugharama wa harusi nawenyewe unaheshima yake bhana sio inakuwa kama mlizaliwa kwa bahati mbaya aisee....duh!!!...ndoa ya kihivyo hata wageni wanaweza wasije kuwatembelea maana watajiuliza ndoa yao yenyewe wamepakiana kwenye wilbaroo sa wataweza kumuhudumia mgeni hao?
 

Kila mbuzi anakula kadiri ya urefu wa kamba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…