Babu zangu, baba zangu wameishi kwenye ndoa mpaka vifo vimewatenganisha, mimi ndoa yangu chali miaka mitano tu. Hii laana unayosema ni ipi? Ndoa za siku hizi hamna cha sijui wazazi waliachana etc. Havina mahusiano kabisa na ndoa za wazazi wetu.
Niluache kwa sababu gani? Kuna mambo ambayo ni lazima ujitenge nayo ikiwa yanahatarisha maisha yako. We live once, na hakuna replacement ya maisha yako.