Chamachama
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 200
- 129
Nzuri zaidi mwanamke alitokea kwa mwalimu siku anaenda Dar es salaam kufunga harusi na huyo teacher alimsindikiza mpaka stendi,
...mwenyewe sijaelewa ilumbu gwangu....Hiki kipengele nimesoma mara mbili sijakielewa.........naweza kuwa kichwa nazi.......?
Hiki kipengele nimesoma mara mbili sijakielewa.........naweza kuwa kichwa nazi.......?
Yaani kidumu kilimsindikiza binti ili aende kuolewa Dar. Baada ya siku tatu tu binti kadivorce na kurudi kwa kidumu ambacho ni mwalimu mwenzie mikoaniHiki kipengele nimesoma mara mbili sijakielewa.........naweza kuwa kichwa nazi.......?
Mama si mabinti ila ni pressure za wazazi ati mbona hujaolewa, olewa sasa. Ni bora ikafika wakati watoto wenu msiwa-pressurize ati waolewe. Hii ni mbaya sana kulazimisha binti aolewe. Mwache akimuona anayemfaa ataolewa tu kama hakuna achana naye ni maisha yakeWanawake wengine ni kama wana mapepo tu,
Kuwatia watoto wetu nuksi.
Wakati mwingine wanalazimisha watu kutumia kitu chenye ncha kali.
Yaani kidumu kilimsindikiza binti ili aende kuolewa Dar. Baada ya siku tatu tu binti kadivorce na kurudi kwa kidumu ambacho ni mwalimu mwenzie mikoani
Tumeaambiwa tusihukumu tusije hukumiwa. Ila kubali usikubali ni kosa la la Wazazi na jamii kwa huyo binti. Uliza wengi wenu mnavyopata stress ukitimiza miaka 25 bila kuchumbiwa.Asante kwa kunielewesha.......kumbe ndio ilikuwa hivyo........huyo mwanamke ni mchafu sana........hafai.......
Preta mbona umetoa conclusion kali hivyo?Asante kwa kunielewesha.......kumbe ndio ilikuwa hivyo........huyo mwanamke ni mchafu sana........hafai.......
Af we mtoa mada ni me au ke?
mke mwenza mbona kama unataka kumatack mtoa mada
Hapana mke mwenza nina maana yangu kuuliza hivyo....