Chamachama
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 200
- 129
Jamani ipo hivi, Jamaa yangu ni Mwalimu ,ana mahusiano na mwalimu mwenzie ,na wana miezi michache tu,lakini ikumbukwe huyu dada tayari alikuwa na mchumba kabla ya kukutana na huyu mwalimu mwenzie bila kujua.
Lakini mwalimu alijua uwepo wa huyu jamaa,tatizo liko hapa ,jamaa yangu tayari amekwisha funga Ndoa (Harusi) tena kanisani na huyu mwalimu,
Nzuri zaidi mwanamke alitokea kwa mwalimu siku anaenda Dar es salaam kufunga harusi na huyo teacher alimsindikiza mpaka stendi,baada ya harusi kwisha wameenda honeymoon jamani ndoa ina siku tatu binti kamtamkia mumewe hamtaki na hampendi.
Bali mapenzi yapo kwa yulemwalimu,binti ashaondoka na hayupo kwake yupo kwa mwalimu hapa ,jamani hebu tumshauri huyu jamaa ,na tuangalie kiundani huyu dada alikuwa na lengo gani.