joo fill
Member
- Mar 26, 2014
- 37
- 4
Kuna mzee alikuwa ameowa mke wa kijijini,walipofika mjini siku ya kwanza ya kusex na yule mwanamke yule mwanamke aligundua kuwa mumewe anajinsia mbili hivyo akaona aombe talaka mapema
Jamaa kuona hivyo akaend kumuomba msaada kwa rafiki yake wakaribu.Yule rafiki yake akamwambia "ningoje sasa hivi nikarekebishe tatizo lako"
Yule jamaa akaamua kuondoka kwenda kwa mke wa rafiki yake mambo yakawa hivi;~
Jamaa:samahani bwana mashine mbili nimemkuta?
Mke:ametoka kidogo
Jamaa:sasa akija mwambie bwana mashine nne amekupitia muende kwenye ule msiba wa bwana mashine tatu ,,,,,,,,, alafu mwambie ampitie na bwana mashine sita pale kijiweni waende msibani
Yule jamaa akaondoka zake.
Mke:duuu! kumbe dar ndo palivyo mh! ngoja tu niendelee na mume wangu kumbe kuna wengine wanampaka sita mh!
"Haahahahahahahahahahaha kweli town akili"