Ndoa ndoano, atapataje talaka yake?

Ndoa ndoano, atapataje talaka yake?

Wanaume ving'ang'anizi wa ndoa wanaudhi sana. Ndoa tayari ina mushkeli na mwenzie kishachoka hataki tena kuwemo kwenye ndoa jina, lakini jamaa kang'ang'ana kttwa kisingizio cha ndoa ya kanisa.

Mambo mengine yanchosha jamani mweh 5 yrs
 
hamna ndoa wala ndoano hapo.....aende mahakamani....hakuna ndoa isiyovunjika....imani na uhalisia katika kuishi ni vitu 2 tofauti........
ila jamaa atakua ana mechi kibao za ugenini..hahahaaaaaaa...
 
Back
Top Bottom