Ndoa ndo shule ngumu kufaulu duniani.

Ndoa ndo shule ngumu kufaulu duniani.

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,939
Reaction score
600
Utafiti umeonesha kwamba "ni NDOA pekee ndio shule ngumu sana kufaulu duniani" ndio maana unapewa cheti chake kwanza alafu mitihani yake unaenda kukabiliana baadae la sivyo ingeanza mitihani wengi wangetoroka shule na wachache saaana ndo wangefaulu kupata cheti.

Je wewe unaionaje ndoa yako?
 
Ndoa yangu poa tu, Nasubiri cheti mwishoni
 
Sio kweli,hakuna taasisi yenye raha kama ndoa,as long umemuoa/ olewa na chaguo.la moyo wako, acheni kupotosha,wengine tupo kwenye ndoa for years ila hatjawahi kujuta
 
Huo utafiti umefanywa kwa msaada wa watu wa wapi? wa marekani au?
 
tusidanganyane ndoa ni ngum ndugu zangu,hv mim najiandaa talaka kwa jns nlivyojawa na sumu huenda ikawa hata page nne. Nitaoa mpaka nipate mwanamke mwenye hofu ya mungu,tena ntamfanyia study kama nataka kuandika thesis ya PhD.
 
Sio kweli,hakuna taasisi yenye raha kama ndoa,as long umemuoa/ olewa na chaguo.la moyo wako, acheni kupotosha,wengine tupo kwenye ndoa for years ila hatjawahi kujuta

Turudi kwenye mada. Hawa walioanzisha ndoa kwanini waliamua kuanza na certificate alafu talaka mwishoni. Kwanini ndoa ina vyeti viwili yaani upoingia unapewa cheti na unapotoka unapewa verification letter au confirmation letter kwamba kweli shule ya ndoa ngumu au kiswahili tunaita talaka.
 
Kuna namna nyingi na malengo ya kufunga ndoa.KUna ndoa zinafungwa kabla ya mfungo,ukiisha ndoa zimekwisha.Kuna wanao lazimishwa kuoa/kuolewa,kuna mwingine aliisha zaa sasa yeyote atakaye jitokeza yu tayari kuolewa.Ndoa za mashinikizo hazidumu na si sahihi kuchukulia ndio Ndoa zilivyo.

NI WAKATI SASA WA KUWA NA MAADA ZENYE KUANAGAZIA MAZURI YA NDOA DHIDI YA MABAYA
 
Pamoja na matatizo mengi yaliyopo katika ndoa, ningependa kujua kwa nini ndoa nyingi zina mifarakano?
Hasa ndoa za nyakati hizi?
 
^^
There garden of tears of pain as well as that of joy... Thats human destiny
^^
 
Yan shulen unasoma afu ndio unapewa cheti but ndoa Unaambiwa ndoa unachukua chet kwanza afu masomo baadae
 
tusidanganyane ndoa ni ngum ndugu zangu,hv mim najiandaa talaka kwa jns nlivyojawa na sumu huenda ikawa hata page nne. Nitaoa mpaka nipate mwanamke mwenye hofu ya mungu,tena ntamfanyia study kama nataka kuandika thesis ya PhD.
Umejawa na sumu gani mkuu,mwagika hapa ili tuiponyeshe ndoa yako
 
tusidanganyane ndoa ni ngum ndugu zangu,hv mim najiandaa talaka kwa jns nlivyojawa na sumu huenda ikawa hata page nne. Nitaoa mpaka nipate mwanamke mwenye hofu ya mungu,tena ntamfanyia study kama nataka kuandika thesis ya PhD.

Tatizo huwa mnaoa kwa kuiga au kwa vile age yako wengi wameoa!! Matokeo yake unajikuta umeingia kwa mtu ambaye hakuwa tayari kuolewa, ulioa model nini maana ndiyo zenu na hapo lazima ule za mbavu!! Nikikuuliza ni vigezo gani ulitumia kuoa na sasa havipo kwa uliyemuoa ni nini??

Sababu kubwa ni hukujiandaa kiakili wala kimwili kukabiliana na mikiki yan ndoa na ndiyo maana unaona suluhu ni talaka tu!! Tuliza kichwa kaka
 
Ndoa imekushinda wewe unadhani wote wanashindwa
 
Back
Top Bottom