Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,799
me nazani wakujiheshimu ni sisi wenyewe tulio kwenye ndoa, mume ajiheshimu na mke ajiheshimu ndo hao watu wengine wapembeni wafate, wewe unajijua umeolewa kinachokufanya umkubali mwanaume mwingine ni nini? tuache hizo excuse za eti "kurubuniwa" hv mtu mzima na akili zako unarubuniwa na mtu mzima mwenzio? basi hujakuwa kiakili na wala hufai kuwa kwenye ndoa
wengine wanarubuniwa na viserengeti boys kabisa sembuse mtu mzima... ndoa siku hizi zinakuwa fasion kugegedana nje ni kama kawaida, maofisi ni maficho na adui tosha wa ndoa zenu