Ahsante sana mumu kwa hekima zako."Ndoa na iheshimiwe na watu wote,na malazi yawe safi;kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu" Mtume Paulo aliwaandikia maneno hayo Waebrani wakati huo,.lakini Neno la Mungu kwakuwa halifi,basi tuyaishi maneno haya,.
Tukipendana katika roho na kweli bila unafiki lazima tuzione baraka za Mungu katikati ya maisha yetu,.ndoa ni baraka na ndio taasisi ya kwanza Mungu kuileta duniani hivyo hatuna budi kuiheshimu na kuitii kwa upendo na kwa uaminifu,kwa maana ndipo ilipo chemchem ya FURAHA ndani ya mioyo ya walioungana,.
Tusisahau kutembea katika imani na ukamilifu,pamoja na ukengeufu wa kibinadamu tunapokoseana tusiwe na mioyo migumu ya kushindwa kutubu na kuombana msamaha,.
Lindeni na mpende ndoa zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa lake.
Mungu akatubariki,sasa na milele.
Amen.
Kweli mkuu.Ndoa nyingi hazina hadhi ya ndoa bali kichaka tu cha uhuni na umalaya wa siri siri,
Jamaaa umesema mambo muhimu sana na nguzo katika ndoa , kwa wale watao pitia post yako wakasoma mwanzo mwisho hakika na kama ndio atakuwa alijificha tu kwenye kichaka cha ndoa kwakufanya umalaya basi lazima atakata shauri nakuamua kuishi kama inavyo mpasa,
Tamaa haijawahi muacha mtu salama hata aweje, hivyo wana ndoa wabaki na ndoa zao.
Kama kuna ke anampango wakusimamia ndoa yake na yupo tayari kwa familia basi ani pm
Kwako! kwa kuwa umeandika kwa uchungu nikafikia my own conclusionHii pole umeielekeza wapi?
Sio mimi mkuu.Ukisoma kwa makini uzi unaweza kujua sababu.Kwako! kwa kuwa umeandika kwa uchungu nikafikia my own conclusion
As ante Bradha, uwe na wiki njema.Huu ni ushauri kwa wale ambao hawajaungua bado.
Nikutakie siku njema bbade.