doleicute Member Joined Oct 18, 2017 Posts 76 Reaction score 42 Oct 26, 2017 Thread starter #21 kama nmekupata vyema unamaanisha mabadiliko ni ya pande zote mbili ...
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,587 Oct 26, 2017 #22 Uaminifu
doleicute Member Joined Oct 18, 2017 Posts 76 Reaction score 42 Oct 26, 2017 Thread starter #23 as Kichwa Kichafu said: Uaminifu Click to expand... asante
D doppla2 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 1,393 Reaction score 1,462 Oct 26, 2017 #24 Hili dude liko complex sana Taabu inaanza pale unapooa mtu, kuja kushituka kumbe umeoa au kuolewa na familia zetu. Mabadiliko haya yanahitaji akili zilizopevuka na uvumilivu. Kupunguza matazamio na kuanza kuishi maisha halisi ni nguzo kuu ya ndoa. Haya yote ili yaanze kufanya kazi maishani mwako huna budi kumtegemea Mungu daima.
Hili dude liko complex sana Taabu inaanza pale unapooa mtu, kuja kushituka kumbe umeoa au kuolewa na familia zetu. Mabadiliko haya yanahitaji akili zilizopevuka na uvumilivu. Kupunguza matazamio na kuanza kuishi maisha halisi ni nguzo kuu ya ndoa. Haya yote ili yaanze kufanya kazi maishani mwako huna budi kumtegemea Mungu daima.