Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Hapana hakunja huyu mambo mengine tu story ndefu tu
Haya mambo ya Diana na Charles kuachana yatakusaidiaje kuwawekea watoto wako ugali na mboga mezani?
Unao ushahidi wowote ule? Toa hapa?Kama hakuvunja huyu ndoa kwa nini Prince Charles alianza kuhusiana na huyu kabla hawajatalikiana na Princess Diana na kusababisha Diana kuchanganyikiwa kumkumbatia kiruka njia?
Unao ushahidi wowote ule? Toa hapa?
Amekuja kukazia suala la ushoga,kesho utasikia serikali imekubali