Ndoa Kusaidiana !!!

Jamaa atakua bado anafukuzia ndio maana ananyenyekea hivyo.
 
Jamaa atakua bado anafukuzia ndio maana ananyenyekea hivyo.



Ah wapi wala sio kufukuzia,hayo ndio maisha ya wenzetu wa magharibi na sio sisi tuliozoea mnatoka shamba wote mke ana kuni kichwani mtoto mgongoni na jembe begani,baba yuko nyuma na bakora mkononi na wakifika nyumbani baba atadai awekewe maji ya kuoga bafuni kisha awekewe ugali, na ukitazama mfanyakazi mkuu shambani alikuwa huyohuyo mama anayetumikishwa kama punda.Kwa wenzetu waliofanikiwa katika ukombozi wa mwanamke haya ndio maisha ya kila siku na ukijidai huyawezi basi mwanamke utamuona mtaani tu.Tubadilike na tuijue thamani yao..
 
Inawezekana kabisa. Maana inaonekana kama vile jamaa alikuwa ana sua-sua na mizigo ndio maana mama akaona ampe tafu kwa kumshika mkono !!

mh, sijui kama alimaanisha hivyo, hebu jaribu kutafakari kwa kina kuna kitu kimefichwa katika comment yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…