SUPER BRAND
Member
- Feb 9, 2014
- 8
- 0
hi jf members!
Mimi ni kijana wa miaka 32,
Mwajiriwa mwenye shahada ya pili ya uchumi,
Mstaarabu,mtanashati,sinywi,sivuti,mrefu kiasi,najua nini maana ya kumpenda,kumtunza ,na kumjali msichana!
Natafuta msichana mrembo,
Elimu diploma level na kuendelea,awe mweupe kiasi,mrefu si sana,awe na shepu nzuri kwa maana ya makalio makubwa wastani,kifua cha wastani,ajue kuvaa modernly!awe na upendo wa kweli!.wenye sifa tajwa hapo juu na walio serious tu waniPM.