mie nimeolewa kwa zaidi ya miaka 10. Mwanzoni nilikuwa mkweli sana kuhusu financial zangu kwa mume wangu..yani kila ninachokipata namwambia halafu tunajadili cha kufanyia..niliamini na mwenzangu yuko hivyo, lkn baadae nikaja kugundua kuwa haniambii ukweli kuhusu kipato chake(baada ya kugundua asset zake ambazo alinificha) na mambo kadhaa ambayo aliyafanya bila kunishirikisha..tuliongea ili tuyamalize na kila mmoja wetu asimfiche mwenzie, aliomba msamaha na akaahidi kujirekebisha lkn hajajirekebisha..kila mara nimekuwa nikigundua/nikiambiwa mambo anayofanya kimya kimya.. Nikimuuliza amekuwa akitahayari tu hana la kusema..nikasema hakuna haja ya kugombana kwa sbb ya kipato cha mtu, nami si ninacho cha kwangu?...nami nikawa naficha kipato changu, simwambii na wala hajui nina shilingi ngapi..nimefungua account bank nyingine naweka huko akiba na wala hajui(ile bank anayojua anayo na password na yuko free akitaka hela nampa kadi).. Nimejenga nyumba 1, hajui na sasa nategemea kujenga nyingine(sitegemei kumwambia vile vile).. Matumizi ya nyumbani nachangia km kawaida tena mara kibao namkopesha kwani mwenzangu hajui bajeti mara kwa mara anaishiwa hata ya mafuta(anaamua kupanda daladala)..
Kwa hivo tatizo ni nyie wanaume sio wakweli..wanawake ni wakweli pale mnapowashirikisha na wanajua bajeti..ni mara chache sn utakuta mwanamke kaishiwa hadi nauli
mie nimeolewa kwa zaidi ya miaka 10. mwanzoni nilikuwa mkweli sana kuhusu financial zangu kwa mume wangu..yani kila ninachokipata namwambia halafu tunajadili cha kufanyia..niliamini na mwenzangu yuko hivyo, lkn baadae nikaja kugundua kuwa haniambii ukweli kuhusu kipato chake(baada ya kugundua asset zake ambazo alinificha) na mambo kadhaa ambayo aliyafanya bila kunishirikisha..tuliongea ili tuyamalize na kila mmoja wetu asimfiche mwenzie, aliomba msamaha na akaahidi kujirekebisha lkn hajajirekebisha..kila mara nimekuwa nikigundua/nikiambiwa mambo anayofanya kimya kimya.. nikimuuliza amekuwa akitahayari tu hana la kusema..nikasema hakuna haja ya kugombana kwa sbb ya kipato cha mtu, nami si ninacho cha kwangu?...nami nikawa naficha kipato changu, simwambii na wala hajui nina shilingi ngapi..nimefungua account bank nyingine naweka huko akiba na wala hajui(ile bank anayojua anayo na password na yuko free akitaka hela nampa kadi).. nimejenga nyumba 1, hajui na sasa nategemea kujenga nyingine(sitegemei kumwambia vile vile).. matumizi ya nyumbani nachangia km kawaida tena mara kibao namkopesha kwani mwenzangu hajui bajeti mara kwa mara anaishiwa hata ya mafuta(anaamua kupanda daladala)..
kwa hivo tatizo ni nyie wanaume sio wakweli..wanawake ni wakweli pale mnapowashirikisha na wanajua bajeti..ni mara chache sn utakuta mwanamke kaishiwa hadi nauli

Nina urafiki sana na mdada
mmoja ambaye ameolewa, mdada huyu tunafanya naye benki moja hivi. mume
wake tuna urafiki pia lakini sio kihivo kama mke wake, nadhani ni
kwasababu tunafanya naye ofisi moja. Wiki iliyo pita shemeji alinikopa
laki! nikaahidi kumpatia jioni, kwakuwa mke wake yupo maternity live,
naye kwa bahati alinipigia simu akiniomba nimuangalizie balance kwenye
account yake, nilishikwa na butwaa kuona salio la ukweli. Nikajua hapa
kuna tatizo.
Nilimkopesha shemeji laki moja akaniahidi atanirudishia baada ya wiki.
Sikuishia hapo, nili mpigia mkewake simu nikimuazima laki moja
nimrudishie baada ya wiki, bila tatizo, akanipatia.
They are very happy family!!!!!!!
duuuh nimeamini kuna watu wabinafsi
hivi ndoa ni nini?@Kamusi
thax kaka umemsoma kamusi?
yaani wapo pamoja kitandani tu ,baada ya hapo kila mtu kimpango wake...hana tofauti na mimiKamusi na mwenza wake wanafanya maigizo.
Hawako kwenye ndoa hao.
Kufichana kwenye ndoa hakuhusiki hata kidogo.
Ndiyo BADILI TABIA,
Ila ni sawa kweli jamaa akakope kwa mtu ambaye yuko karibu na mke wake??
Bado hapa kuna katatizo hata kama hatujui tatizo lenyewe ni lipi!!
Babu DC!!
duuuh nimeamini kuna watu wabinafsi
hivi ndoa ni nini?@Kamusi
ndoa ni maelewano kati ya wa2 wawili, sasa km mmoja haonyeshi ushirikiano unataka huyo mwingine afanyaje?
kwa kweli issue za finance ni wa2 wachache sn wanasema kweli katika ndoa, wengi hawasemi kweli..(hasa wanaume)
na wakati mwingine inabidi tukubali kutokukubaliana, ili maisha yaendelee, otherwise itakuwa kila siku ni migongano isiyokwisha
nikwambie ukweli tu ndugu yangu, kwa sasa familia yangu imekuwa na amani(ilikuwa kila siku tunakalishana vikao na mr na kugombana kuhusu tabia yake hii) lkn nilipoamua kubadilika na kumuacha aniambie analotaka na asiloniambia simuulizi(ila nami nafanya yangu) basi tunaishi vizuri, what else should i do?
Nimeipenda post yako ila imenitia uchungu...kifupi kwenye ndoa wanaume ndio tatizo sana.!mie nimeolewa kwa zaidi ya miaka 10. mwanzoni nilikuwa mkweli sana kuhusu financial zangu kwa mume wangu..yani kila ninachokipata namwambia halafu tunajadili cha kufanyia..niliamini na mwenzangu yuko hivyo, lkn baadae nikaja kugundua kuwa haniambii ukweli kuhusu kipato chake(baada ya kugundua asset zake ambazo alinificha) na mambo kadhaa ambayo aliyafanya bila kunishirikisha..tuliongea ili tuyamalize na kila mmoja wetu asimfiche mwenzie, aliomba msamaha na akaahidi kujirekebisha lkn hajajirekebisha..kila mara nimekuwa nikigundua/nikiambiwa mambo anayofanya kimya kimya.. nikimuuliza amekuwa akitahayari tu hana la kusema..nikasema hakuna haja ya kugombana kwa sbb ya kipato cha mtu, nami si ninacho cha kwangu?...nami nikawa naficha kipato changu, simwambii na wala hajui nina shilingi ngapi..nimefungua account bank nyingine naweka huko akiba na wala hajui(ile bank anayojua anayo na password na yuko free akitaka hela nampa kadi).. nimejenga nyumba 1, hajui na sasa nategemea kujenga nyingine(sitegemei kumwambia vile vile).. matumizi ya nyumbani nachangia km kawaida tena mara kibao namkopesha kwani mwenzangu hajui bajeti mara kwa mara anaishiwa hata ya mafuta(anaamua kupanda daladala)..
kwa hivo tatizo ni nyie wanaume sio wakweli..wanawake ni wakweli pale mnapowashirikisha na wanajua bajeti..ni mara chache sn utakuta mwanamke kaishiwa hadi nauli
Nimeipenda post yako ila imenitia uchungu...kifupi kwenye ndoa wanaume ndio tatizo sana.!
duuuuuuuuuuuuuuhhhh umeuaaaaaahata na wewe mama yako alimuona baba yako boya
Utamu wa ndoa ni uwazi, ukweli, ushirikiano, na upendo wa kweli.