Mwanaume roho yake huwa pale anapopata mgegedo si pahala anapolala. Inaonesha huyo mwanaume ni mwanafunzi wa mapenzi na mkewe ana kitu wanaita ludomodomo. Huwezi nambia akifika nyumbani anaanza kumpiga bila kuwa na kianzio. Kumbuka dawa ya moto ni maji si motoNshaongea sana na shemeji, kutoa mgegedo huko nje siyo tatizo, ila dharau na kutojali mkewe ndo tatizo, kwani angefanya hayo yote kisha akarudi kwake bila kulala nje ya ndoa, au vipigo naamin mke wake asingekua mnyongee kiasi hiki,
Haoni kawaida, amekua mtu wa kulia kila siku, wameshasuluhisha ugomvi hadi kwa familia, but the man hajali, hayo ni baadhi tu ya anayopitia. Yeye anachowaza ni kutengana tuu.
Sijaingilia lolote , anaenifata na kunambia anayopitia ni huyo cuzo, siwez kubaki na aibu yoyote koz sijasema popote huwa namfariji tu nakumpokea akiwa analia, kwahiyo akija kwangu nimfukuze au?😀 😀 😀 ipo siku huo upambe wako utakuacha na aibu, ogopa sana kuingilia kwa miguu miwili mahusiano ya wawili wapendanao.... Maana hao wakipatana itakuwa hatari sana kwako.
Mimi km ni huyo shemeji yako ningekukula na wewe, maana unaonekana una wivu sana
Mimi cyo typ ya kutembea na waume za watu, n then soma comment zangu hapo juu, nimesema nimeandika hapa jF tu but kiuhalisia sijamshauri hivo, nna akili timamu kabisaHuo ushauri uliompa duuuh....nahs we utakuwa unamuibia mumewe
Ila umeandika kishabiki sana. Andika sana, Cheka sana, Lia sana, omba yasikukute.Hawa wanandoa wameoana toka 2017 kipindi hicho mapenzi yalikua mubashara, (hadi nikatamani kuolewa)ila 2018 baada ya kubarikiwa mtoto wao wa kwanza cousin yangu akaanza kukipata cha mtema kuni.
Mwanaume alibadilika kwa kasi ya 4G, harudi nyumbani, ulevi kupitiliza, mara mida ya kurudi ikawa saa nane au hata kumi na mbili, siku nyingine saa nne asubuh ndo jamaa anapatikana, na vipigo juu.
Huyu cousin wangu mara nyingi nipo nae tumekua pamoja, mambo yake mengi ananiambia,so do l.
Kuna kipind hata wakishiriki tendo la ndoa jamaa anamuita jina la mchepuko, ila kwa sasa huyo mchepuko kaachwa, kapata mchepuko mwingine MKE WA MTU.(cjui mumewe atakua ni member huku)sasa penzi ndo limedamshi, kurud nyumban ni mida mibayaa saa saba hadi kumi, alishampiga ndugu yangu kisa alimuonya kuachana na mke wa mtu, haambiliki haskii, cousin aligundua haya baada ya kushika simu ya mumewe na kukuta charting wanavyoelezana wanavyopendana, mara guest na lounge wanazoendaga, na miamala wanavyotumiana hela,
Hapo ndoa bado mbichi kabisa, mke analalamika mumewe akishanunua chakula basi tena kwa kusumbuana sana, mahitaji yake muhimu hana mpango nayo, kila siku hana hela(huwa najiuliza iweje shemeji alewe kila siku, kwenda guest na kumuhudumia mke wa mtu, afu nyumbani kwake aseme hana hela?)
Me nilichomshauri ajitafutie mchepuko tu ajiliwaze, cyo kwa stress hizo kukesha usiku kusubiri mtu hujui kama atakuja au analala huko, ila akiwa na mpango wa kando atamliwaza.
Wanajamvi, mnamshauri nini huyu.
Wewe ndo wasema.Ila umeandika kishabiki sana. Andika sana, Cheka sana, Lia sana, omba yasikukute.
Sijaingilia lolote , anaenifata na kunambia anayopitia ni huyo cuzo, siwez kubaki na aibu yoyote koz sijasema popote huwa namfariji tu nakumpokea akiwa analia, kwahiyo akija kwangu nimfukuze au?
. Me nilichomshauri ajitafutie mchepuko tu ajiliwaze, cyo kwa stress hizo kukesha usiku kusubiri mtu hujui kama atakuja au analala huko, ila akiwa na mpango wa kando atamliwaza.
Mda mwingine mambo yanatokea kitofauti unaweza kuwa wewe mwanaume mtulivu mkee shupavu,,labda akawa mwanaume shupavu mke mtulivu jxt to be grateful kwa kile ulonacho mana Mungu ndie mjuzi zaidi!Hawa wanandoa wameoana toka 2017 kipindi hicho mapenzi yalikua mubashara, (hadi nikatamani kuolewa)ila 2018 baada ya kubarikiwa mtoto wao wa kwanza cousin yangu akaanza kukipata cha mtema kuni.
Mwanaume alibadilika kwa kasi ya 4G, harudi nyumbani, ulevi kupitiliza, mara mida ya kurudi ikawa saa nane au hata kumi na mbili, siku nyingine saa nne asubuh ndo jamaa anapatikana, na vipigo juu.
Huyu cousin wangu mara nyingi nipo nae tumekua pamoja, mambo yake mengi ananiambia,so do l.
Kuna kipind hata wakishiriki tendo la ndoa jamaa anamuita jina la mchepuko, ila kwa sasa huyo mchepuko kaachwa, kapata mchepuko mwingine MKE WA MTU.(cjui mumewe atakua ni member huku)sasa penzi ndo limedamshi, kurud nyumban ni mida mibayaa saa saba hadi kumi, alishampiga ndugu yangu kisa alimuonya kuachana na mke wa mtu, haambiliki haskii, cousin aligundua haya baada ya kushika simu ya mumewe na kukuta charting wanavyoelezana wanavyopendana, mara guest na lounge wanazoendaga, na miamala wanavyotumiana hela,
Hapo ndoa bado mbichi kabisa, mke analalamika mumewe akishanunua chakula basi tena kwa kusumbuana sana, mahitaji yake muhimu hana mpango nayo, kila siku hana hela(huwa najiuliza iweje shemeji alewe kila siku, kwenda guest na kumuhudumia mke wa mtu, afu nyumbani kwake aseme hana hela?)
Me nilichomshauri ajitafutie mchepuko tu ajiliwaze, cyo kwa stress hizo kukesha usiku kusubiri mtu hujui kama atakuja au analala huko, ila akiwa na mpango wa kando atamliwaza.
Wanajamvi, mnamshauri nini huyu.
Ndio mimi nimesema.Wewe ndo wasema.
Hili jibu linatosha na wanawake wengi huwa wanajisahau hapa, na sababu nyingine inawezekana labda alikuwa na mashaka na mimba!Tatzo huwa linaanzia kwa wanawake wenyewe pindi wanapojifungua mara nyingi huwa mnabadirika sana mnasahau majukumu yenu n mnakuwa rafu sana
Na kwa jibu awe na mchepuko inawezekana hata mimba jamaa alibis si yake!Inasikitisha sana...
Kuna jambo halipo sawa, mpaka kupelekea huyo mwanaume kubadilika ghalfa...
Cc: mahondaw
Hii pia uliiona au, siyo hasira, mkiwa mnasoma vitu embu muelewe kwanza, unadhan ningemshauri kua na mchepuko ningeandika hapa?I was just trying to make a conversation dear, it was a joke tena hapa tu. Ila yeye sijamshauri hivo, coz najua wanaolala shuka moja ni habari nyingine, mwishowe asiseme nimemtafutia bwana.
Wewe unaona kauli ni suala dogo. Mafundisho yote yanamuasa mwanadamu kuchunga 👅 ila sasa kinamama wakishaolewa breki tupa kuleeePia kauli, kuna mambo madogo wanaume wanayachukulia big deal. Aongee nae ili waje tatitizo linaanzia wapi.
Hauko serious weweHii pia uliiona au, siyo hasira, mkiwa mnasoma vitu embu muelewe kwanza, unadhan ningemshauri kua na mchepuko ningeandika hapa?
Wewe jamaa bana. Haya mambo unaweza kuacha. Hata wewe kuna muda utafika utaachwa tuTatizo la kwanza ni pale mwanamke anapoingia kwenye ndoa na kidhani kuwa mgegedo ni wake peke yake. ...binadamu tunajipaga matumaini ya ajabu sana. Mtu mmekutana alishaonja papuchi au migegedo kibao ..eti cheti cha ndoa ndio kitamadiliisha. Ah wapi. Mie bwana as long as sijakukuta bikra najua kabisa wanaume wengine nao watagegeda.
Kabisa maana huyo dhahiri shahiri ameonyesha kuwa ni mke mwema.m
ahaaa mkuu kwa hiyo ungemkuta bikra ungetulia au?
Ah wapi papuchi na mie mie na papuchi...ndio starehe nzuri kuliko zote hapa duniani. Warembo walivyo wazuri alafu niache...hapana bwana lazima niburudike nao....sema tatizo ni ndalama nazo zinapiga chengaWewe jamaa bana. Haya mambo unaweza kuacha. Hata wewe kuna muda utafika utaachwa tu