Unataka niseme mimi ningefanyaje? Ningemwacha ajinafasi vizuri
Sina ndoa,ila kwa kweli ahame or else asubiri kuletewa magonjwa ndani,,,imagine mumewe anatembea na mke wa mtu, na mwenye mke nae ana mchepuko wake,,,,, huu mzunguko hapana
Ni kweli, yaani mtu anaonyesha wazi hakupendi ila we umekomaa tuMapenzi kitu cha kishenzi sana. Ukitaka kuyaforce ni wewe ndio utateseka.
Inahusika mwenza. Sasa mtu anafanyiwa yote hayo anavumilia anajua ndo muda wa kutumikia kiapo mwenzaWeee hiyo haihusiki hapo, labda ungesema ile ya samehe saba mara sabini
Ni kweli, yaani mtu anaonyesha wazi hakupendi ila we umekomaa tu
Unaendeleaje kuishi na mtu kama huyu na kudai una mume? Hii si ndoa pamoja na ndoa kuwa na majaribuni lakini hii hapana ama atatiwa kilema, kutolewa ngeu au kuletewa gonjwa. Mwambie afungashe haraka sana.
Inahusika mwenza. Sasa mtu anafanyiwa yote hayo anavumilia anajua ndo muda wa kutumikia kiapo mwenza
Hiyo ndiyo ndoa. Ni mambo ya kurekebishana kisha mnayamaliza hata kama unatafuta mchepuko ni kwaajili ya kusuuza rungu na mke akiwa sawa unapiga mchepuko chini unaendelea na mkeo.Tatzo huwa linaanzia kwa wanawake wenyewe pindi wanapojifungua mara nyingi huwa mnabadirika sana mnasahau majukumu yenu n mnakuwa rafu sana
Ni kweli tena asipoondoka mwenyewe itafika wakati atakuta katupiwa vitu nje maana keshaonyeshwa dalili zote kuwa hatakiwi ila ye haelewi
Wanawake tunaabudu sana ndoa kwa kigezo cha mimi ni mke wake hata aende wapi atarudi kwangu.Unaendeleaje kuishi na mtu kama huyu na kudai una mume? Hii si ndoa pamoja na ndoa kuwa na majaribu lakini hii hapana ama atatiwa kilema, kutolewa ngeu au kuletewa gonjwa. Mwambie afungashe haraka sana.
Wanawake tunaabudu sana ndoa kwa kigezo cha mimi ni mke wake hata aende wapi atarudi kwangu.
Kama huyo anaamini ipo siku watakua sawa na huyo mumewe.
Hiyo ishakua ndoana mtu bado anakaa sijui ndo
Simfundishi chochote, namuonea huruma kwa anayoyapitia ingali bado mapema,Kwajinsi ulivyo andika, nimegundua kwamba huyo cousin wako anampenda sana mumewe. Na hakika hawana matatizo katika ndoa yao.
Hapo minaona wewe ndie mwenye shida/tatizo kwa kuingilia na kumfundisha cousin wako aishi kwajinsi unavyo taka ama kukupendeza wewe.
Mhhhh, tabia gani hizo? Kulala nje, kupiga mke, au kutembea na mke wa mtu?Muache aendelee kuchepuka namfaham uyo jamaa ameanza kuwa na tabia ambazo alikuwa azipendi kwa baba yake
Kabla sijaoa nilikuwa nashangaa wanaume wenzangu inakuaje wanachepuka mpaka anaitelekeza familia yake? Nilivyoingia kwenye ndoa nimepata majibu yote. Wanawake wanabadilika sana yale aliyokuwa anayafanya kabla ya ndoa yote anatupa kule na hasa wanaanza wanapopata mimba ya kwanza ,tena hawa wanaofanya kazi usipochepuka na kuama nyumba basi umemshika mungu sana. ndiyo maana ukijaribu nje ukampata anayejua mapenzi matokeo yake ndiyo hayo.Hapo hakuna uchawi wala ndumba ni mahaba tu.
Hata bible inasema kwamba inawezekana kuomba au kutoa talaka endapo mtu akizini nje ya ndoa. Kwahiyo suruhisho ni kumuacha tu. Mungu anabaraka zake katika hilo.Unaendeleaje kuishi na mtu kama huyu na kudai una mume? Hii si ndoa pamoja na ndoa kuwa na majaribu lakini hii hapana ama atatiwa kilema, kutolewa ngeu au kuletewa gonjwa. Mwambie afungashe haraka sana.
Be blessed mkuu. Wanaume wanaowafanyia hivi wake zao kisa kuzaa Wanazingua sana.Hiyo ndiyo ndoa. Ni mambo ya kurekebishana kisha mnayamaliza hata kama unatafuta mchepuko ni kwaajili ya kusuuza rungu na mke akiwa sawa unapiga mchepuko chini unaendelea na mkeo.
Katika maisha yako yote usije ukafanya kosa kubwa sana la kutomthamini mkeo na watoto ukamthamini mchepuko (Wajinga hawatanielewa kwa hili)
Mchepuko yupo kwenye raha tu (Pesa zikiisha hautamuona tena)
Mke yupo kwenye shida na raha. Utaugua au utaishiwa hela lakini mkeo bado atakuwa na wewe. Kuna wajinga pesa zao huponda na michepuko tena huama nyumbani kabisa. Pesa zikiisha anaanza kutafuta huruma kwa mkewe na hapa ukikutana na mwanamke anayejitambua lazima akuchinjie baharini.
MKEO NA WANAO NI KAMA WAZAZI WAKO WA PILI. HATA UKIFA WATAKULILIA NA KUKUMBUKA KWAHIYO TUWAAJALI SANA. USIJE UKASEMA SIJAKWAMBIA HALAFU BAADAYE UANZE KUTAFUTA HURUMA KAMA BABA YAKE DIAMOND. HUWA NAMCHUKIA SANA MTU ANAYETEKELEZA FAMILIA AU KUNYANYASA FAMILIA. MM NIKIJUA UNA MAMBO HAYO HUWA SINA TIME NA WEWE
HATA BIBLIA INASEMA MTU ASIYEWAJALI WA KWAO NI MTU MBAYA SANA.
Number ya mume wa mchepuko ataitoa wapi? Haishi mkoa mmoja na mkewe itakua ngumu kuipata hiyo numberApige picha screen shorts za simu ampe mume wa mchepuko
Amtafute Facebook na Instagram, amuendee inbox au pm amwambie ana mazungumzo nae au amuachie screen shorts hukoNumber ya mume wa mchepuko ataitoa wapi? Haishi mkoa mmoja na mkewe itakua ngumu kuipata hiyo number
Hata jina la huyo mume hajui, sidhani kama kafatilia chochote kuhusu huyo mwanaume,Amtafute Facebook na Instagram, amuendee inbox au pm amwambie ana mazungumzo nae au amuachie screen shorts huko