Pole na matatizoHabarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Tulikua tuna do vizur wala skuwah his utofaut hata kidogo, baada ya posa akastop na skuuliza nlihis anasubir swala la ndoa lipite kwanza lakin hata baada ya ndoa nkaona kimya ndo nkaanza kumuhoji ili nitambue shida nn majibu hakuna zaid ya kusema ana stress za madeni[emoji849][emoji849][emoji849] hamjawahi kudo kabisa hata kabla ya ndoa(licha ni dhambi) ukaona tabia zake?
It was a Joke[emoji12]Zipi?
Ila pole Sana kwa unayopitia, Ni mtihani kweli kweli.Zipi?
Itakua hujanielewa tatizo limeanza baada ya kunitolea posa ila tulikua tupo vizur na tulikua tukisex normal, sjaelewa coment yakoTukiombaga tutest mitambo kabla ya ndoa, mnakua wakali, mnatuonaga wahuni.
Ona Sasa,
Mateso gani Aya ya dunia unapitia[emoji26]
Nshauliza sana tena kwa unyenyekevu, wala sjawah kushout, hata kuna mda akilewa ananambia we mwanamke ubarikiwe pamoja na madhaifu yang sjawah ona ukinisema vibayaIla pole Sana kwa unayopitia, Ni mtihani kweli kweli.
Uyo mwenzio ana matatizo, Tena makubwa Sana.
Tena makubwa sana ndo maana amekausha.
Nadhan,
Badala ya kulaumu Njia nzur Ni ukae na akwambie nyege zake anapelekaga wapi. (Kwa upole lakini)
Kama anakisukari, Nadhan wengi wako hivyo.
Hilo linawezekana kabisa,Pole na matatizo
Kutokana na Ndoa ni kitu kikubwa anza kufanya uchunguzi in details unaweza kuta umeolewa na mke wa mtu.
Dunia imebadilika
Kama alikua sawa kabisa basi kaa naye mzungumze huenda kuna shida inayompa Msongo .Tulikua tuna do vizur wala skuwah his utofaut hata kidogo, baada ya posa akastop na skuuliza nlihis anasubir swala la ndoa lipite kwanza lakin hata baada ya ndoa nkaona kimya ndo nkaanza kumuhoji ili nitambue shida nn majibu hakuna zaid ya kusema ana stress za madeni
Ambapo umesema ni miaka 2 Sasa hamjakutana kabisa?[emoji848]Itakua hujanielewa tatizo limeanza baada ya kunitolea posa ila tulikua tupo vizur na tulikua tukisex normal, sjaelewa coment yako
Mpaka nimekuja hapa maombi nimeshahangaika sana na bado naendelea na maombiUnaishi na jini mahaba ndani, kama unampenda mpeleke kwenye maombi hakuna msaada mwingine.
Ndowa bila kupiga mashine hamna ndowa hapo, kwanza mtaanzisha vipi familia?
Ila una moyo aisee, kipindi cha kuenjoy ujana wako ndio unafanyiwa vituko hivi? Ukizeeka kama sisi si ndio itakuwa balaa?