Ndoa inaelekea kunishinda

U nailed it bro, kiuhalisia utapata wapi Mwanaume asiyecheat 100%, inaonekana huyu shost Ni underground kwenye industry, Cha msingi Ni mtu akupe heshima na atimize wajibu wake
 
Jela ndiyo maana wafungwa hupewa mlo kidogo ili zisitengenezwe. Kuna tofauti kati ya nye ge na kutengeneza hizo sperms
 
Unyago au kwetu inaitwa unyao ilikuwa ni muhimu kwa binti. Vitu kama hivi hufundishwa huko ila miss chuga ni Mchagga na kwao hakuna
 

Ni utoto tu ndiyo unakusumbua. Toka lini umewahi kusikia katika ulimwengu huu, mwanaume kuwa na mwanamke mmoja? Mwanamke mmoja ni mama mzazi tu. Ukikua utapotezea!!! Kwa ujumla, hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja duniani. Never, ever!! Hutaki unaacha.
 
Kitu ambacho wanawake wengi hawaelewi Ni kuwa, hao sio wanawake wapya no, Ila walikuwepo lakini huyo shost ndo akachaguliwa kuwa official, Cha msingi Angekaa na Mwamba wayajenge, jamaa nae mzembe tu simu ya hivo unaiwekaje nyumbani sehem mnayoishi wawili
 
Mkuu kama kukuna mimi ni mwalimu. Maana hata hao wa nje wananililia kwasababu hiyo tu shida hawa watu wanatofautiana sana hasa katika afya zao hususan afya ya uzazi mwingine hainjoy mwingine ana enjoy. Nafikiri na mimi ndio msalaba wangu maana siku anaponikubalia anaenjoy sana ila ni kagoli kamoja hataki uludie na hapo zitapita 2week.
 
Utoto unamsumbua tuu, Cha msingi aangalie heshima, nahitaji ya familia Kama yanatimizwa na yeye Kama anapewa kipaumbele
 
Mbona hakuna tatizo hapo, yaani jamaa kala vitu nje hlafu karudi nyumbani!
Ungekua na tatizo kama angehamisha majeshi.
 
Labda ha-enjoy. Kila kitu kinaanzia kichwani wewe kaa na mkeo vizuri umuulize unakosea wapi anaweza funguka ukayafanyia kazi hayo aliyokwambia. Shida yetu waswahili hatupendi kuongea
Ana enjoy sana tu lakini akipigwa kagoli kamoja hataki tena mpaka 2weeks ndio ahitaji tena wakati mimi kwa 1week nahitaji mara mbili or tatu
 
Na hichi ndokinachoniuma zaidi maana yake amefanya makusudi angekuwa mmoja ningesema bahati mbaya Ila 3 duh! Ndomana naona aibu kushirikisha ndugu naona Kama ntakuwa najivua nguo
Nina mwenzangu alikutwa na kisa kama chako..tena na mimba kubwa
Na ndoa ulikua mwaka wa kwanza.
Alikua anawashirikisha watu wa msingi tu sio kula ndugumfano alikua anamshirikisha Dada wa mume live hii ilimfanya angalau aone aibu.na alikua anaconfess na msaha anaomba hadi analia.
Lakini akawa anandelea kisirisiri baadae..
Nnachojua mqanaume anachepuka kufata starehe ya tendo sio kwamba ana upendo na hao watu..Bali anawatumia tu kujiburudisha..anakupenda wewe ndio maana akaamu kukuoa na kuwaacha wengine.
hofu kuu ni magonjwa ndo inatesa.
Mumeo anakupenda ila hana jinsi maana anahitaji tendo na kwako hatolipata mpaka ukijifungua na kurejea normal...so kaamua kujiongeza.
Na usimuache wala kumtangazia kwa watu hakuna asiechepuka
Jitahidi kama mwanamke kuyamaliza ndani,in ngumu ila utashinda.

Huyo nlokupa mfano hapo juu kwa sasa ana ndoa ya miaka kumi na watoto kibao.mume kabadilika wako happy tu.
Kikubwa onyesha ujasiri usiwe kondoo mbele yake..
Pia mtishietishie kwamba ukiendelea na umalaya wako nawaambia ndugu zako wa ukoo wote waone..
 
Wewe kila kilichozuiliwa na dini hukifanyi? Huyo dada mshauri apate talaka uone kama atapata malaika wake peke yake
Nimeshamshauri tayari.

Kijana unaweza kumvumilia mtu mzinifu au mshirikina ?

Acheni ujinga. Yapo yenye kuvumilika mengi sana ndiyo maana hapo nimetaja yasiyo vumilika. Dini haitaki watu wajinga na wazembe wazembe.
 
Mtu hupati picha wife katoka huko alikotoka umeacha simu kizembe..nae kujifanya anajua ufukunyuku akaishika ili asome text...dadeq! Asipopata kiharusi sijui😂😂😂 some of us flirt sio poa yani!
 
Najaribu kuwaza sana ulianzaje kuwauliza hao wanawake maswali?hapo unauchungu,hasira na mengineyo.vipi ulitumia njia ya kistaarabu kuzungumza nao au ndo hivyo tena…

Maana michepuko na yenyewe inamajibu yao ya kipuuzi sana ukiwaingilia vibaya
Alafu hutoamini wote walinipa ushirikiano mzuri tena waliumia coz walimpenda na aliwadanganya hajaoa waliishia tu kugombana nae na kumtukana kwa kuwachezea naona wamefikishana pabaya mmoja mkorofi ni mwanajeshi alitaka Hadi kupelekana police naona sahivi kawablock baada ya kuona wanamfanyia fujo mwingine kamtishia kuwa atamfanyia kitu kibaya yani kwa ugomvi walionao sidhani Kama watarudiana maana ni kutukanana mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…