Ndoa inaelekea kunishinda

Najaribu kuwaza sana ulianzaje kuwauliza hao wanawake maswali?hapo unauchungu,hasira na mengineyo.vipi ulitumia njia ya kistaarabu kuzungumza nao au ndo hivyo tena…

Maana michepuko na yenyewe inamajibu yao ya kipuuzi sana ukiwaingilia vibaya
michepuko,ukiingia kichwa kichwa unaangukia pua halafu unaishia kulia mwenyewe
 
Uhai kwanza. Kuna mimba nyingine changamoto zinasumbua mno kama mtu anajua mwenza wake ana ujauzito halafu una changamoto bado unaendekeza sex hapana. Kama unampenda mwenzi wako na kujali afya yake utavumilia tu mpaka akae sawa.
B dada acha hizo mambo
 
Nenda dada ila mwanaume wa pekeako utampata mbinguni tu duniani hakuna
 

Bibie chukua huu ushauri, omba talaka. Kuna mambo hayavumiliki bibie nayo ni ushirikina na uzinifu. Chukulia wewe ungekuwa na michepuko na yeye akakufuma hali ingekuwaje ? Sasa msiwe wajinga kiasi hicho.

Kingine kaa ukijua hayo ni malipo ya mikono huenda kuna sehemu ulikosea tangu mwanzo, aidha kitabia au ulimfanyia mtu ubaya kabla ya kuwa na huyo mumeo.

Hawa wanaosema suala la sisi wanaume kuchepuka ni jambo la kawaida huko ni kujiendekeza na uzembe, jambo mpaka limekatazwa na dini ujue kwamba tunaweza kujizuia kutolifanya.
 
Ngoja nikwambie dada yangu mimi mimi sinaga mpango wa kuchepuka lakini kilicho nifanya nichepuke ni hivi nakaa na mke wangu week mara 2week sijamlamba maisha gani hayo. Tena ingekuwa bora kama anaumwa kwamba amelala kitandani. Unakuta mke anakumbia hajisikii kusex kweli? Unataka mtoto wa mwenzio nifanyeje kama sio kwenda kukutafutia wa kukusaidia?
 
Kama anakupatia mahitaji muhimu, hakuna shida, atachepuka na baadaye ataacha tu; hakuna haja ya kuumiza kichwa
 
Wewe acha utoto,pambana nae humohumo kwenye ndoa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Labda ha-enjoy. Kila kitu kinaanzia kichwani wewe kaa na mkeo vizuri umuulize unakosea wapi anaweza funguka ukayafanyia kazi hayo aliyokwambia. Shida yetu waswahili hatupendi kuongea
 
Wewe wanaume ndio walivyo mbona hao 3 wadogo sana unategemea ukiondoka utakapo enda ukikutana na hayo uondoke Tena acha utoto ww ndoa ngumu Kama hunyanyasiki we vumilia tu mbona mumeo anakuheshimu sana mpaka kaficha line sie line hua zipo kwenye simu tuu
 
Michepuko inavyojua kuchachafya
,,,halafu wanamajibu yao eti"mumeo alinitongoza mwenyewe sikumtongoza
Mwingine utamsikia kwani huli ukashiba!!akiwa ndani wako akitoka wetu.kha!!ujauzito unaweza kutoka
 
Wewe kila kilichozuiliwa na dini hukifanyi? Huyo dada mshauri apate talaka uone kama atapata malaika wake peke yake
 
Mkuu inawezekana humkuni vizuri.hebu zungumza nae maana mapenzi nayo ni hisia ujue..Akianza kuvuta hisia za Jana namna alivyoandaliwa,style aliyowekwa,macho alivyolegezewa,namna alivyokunjwa…hivi atakataaje kirahisi kupiga game!
Acha masihara basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…