Ndoa inaelekea kunishinda

What they say:
Marriage is [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]

What they don't say:
Before marriage [emoji3059][emoji3059]
During wedding [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji126][emoji1739]
Few months after marriage [emoji849][emoji849]
One year after marriage [emoji34][emoji34]
Two years later [emoji83][emoji84]
Five years [emoji90][emoji88][emoji3545]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Eti Wana funga ndoa halafu kila mtu haruhusu simu yake kushikwa na mwenzake , Sasa Nini maana ya ndoa!? daahh inafikirisha Sana
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119] Jf inafundisha umalaya
 
Imagine [emoji30][emoji30]
 
Bora Shetani unaemjua kuliko Malaika usiemfahamu...!!

Hakuna mwanaume asieachat ila wapo wachache ambao wanashindwa kuheshimu ndoa zao na kufanya waziwazi kama wako Anafanya kwa siri bhasi Hongera na jitahdi usiwe mfukunyuku maana utaumia tu dada angu.

Tulia na uja uzito wako mwanao akizaliwa mlelee bhasi huyo mwanaume pima nae Ngoma kama hana msamehe muanze upyaaa sababu Ukisema umuache ni sawa na kulikimbia jua songea ukaenda Dar.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Acha kudanganya na jisemee wee km wee, wapo wanaume wasio cheat, wametulia na ndoa zao, sema wengi wao ila sio wote au sio kila mwanaume. Khaaaaah
 
Acha kudanganya na jisemee wee km wee, wapo wanaume wasio cheat, wametulia na ndoa zao, sema wengi wao ila sio wote au sio kila mwanaume. Khaaaaah
Wewe sema usemavyo ila huo ndio Ukweli mchungu kumeza... Toka Enzi za adam na hawa mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja kawaida sana!!
 
Kuna mwanamke anaye cheat bila kumdharau mumewe ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…